Kaka mimi mwenzio mpaka kuna muda huwa najichukia kuzaliwa kwenye taifa kama hili lenye wajinga kibao.Haya huwa hawayaoni sababu ya ukoko wa kuishi kwa manyanyaso na uonevu kwenye akili zao za praise team.
Jitu linakuwa jinga chronically hadi haki linaona ni option na ni haramu kupewa
Imagine unakuta jitu ni lisomi kabisa linatetea ufisadi unaofanywa na Suleiman Mombo tena kwa hoja za kitoto kabisa, eti ooh zile dollar ni fake hakuna ukweli pale, mara ooh yule mombo mbali na kuajiriwa ni mfanya biashara acheni Wivu....!!
Mbaya zaidi unakuta linatetea hao mafisadi waendelee kuitafuna hii nchi wakati huo huko kijijini kwao bibi yake hana hata maji safi na salama... yaan kwa vile tu lenyewe limezoea kupewa vuelfu kumi kumi basi linaona sawa tu watawale waendelee kutuibia.
Kuna majitu majinga sana nchi hii