Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Hao laki 5 inabidi pawepo na strategy za kutosha kumobilize. Ni ngumu, na kwa mantiki hiyo ni impossibleSio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Kenge kama ninyi ndo wazazi wenu walipoteza mbegu zao bure tu, unasema ni ngumu kwa nini useme haiwezekani!? Mbona misri waliweza mobilisation hiyo na kufanya watu milioni 2 wawe pale tahrir square pale cairo na wakamng'oa mubarak!?Hao laki 5 inabidi pawepo na strategy za kutosha kumobilize. Ni ngumu, na kwa mantiki hiyo ni impossible
Tuanzishie basi jasiri wetu. Kumbe inawezekana?Kenge kama ninyi ndo wazazi wenu walipoteza mbegu zao bure tu, unasema ni ngumu kwa nini useme haiwezekani!? Mbona misri waliweza mobilisation hiyo na kufanya watu milioni 2 wawe pale tahrir square pale cairo na wakamng'oa mubarak!?
Hizi dhuluma zinazoendelea ni unintended catalyst ya revolution. Ipo siku hutayaamini macho na masikio yako!Hao laki 5 inabidi pawepo na strategy za kutosha kumobilize. Ni ngumu, na kwa mantiki hiyo ni impossible
Kibodi woriazi mitandaoni mnakuwa wakali kama nyuki ila mkiambiwa zima data muongeze jahazi offline mnaanza kujiliza kama nzi.Kenge kama ninyi ndo wazazi wenu walipoteza mbegu zao bure tu, unasema ni ngumu kwa nini useme haiwezekani!? Mbona misri waliweza mobilisation hiyo na kufanya watu milioni 2 wawe pale tahrir square pale cairo na wakamng'oa mubarak!?
Kitu gani kimebadirika baada ya kumtoa Mubarak?Kenge kama ninyi ndo wazazi wenu walipoteza mbegu zao bure tu, unasema ni ngumu kwa nini useme haiwezekani!? Mbona misri waliweza mobilisation hiyo na kufanya watu milioni 2 wawe pale tahrir square pale cairo na wakamng'oa mubarak!?
Violence ikiwa juu, Rais ana Mandate ya Kumobilize Security Organs zote ku combat hio criminalitySio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Kilichowasaidia Gen Z wa Nepal ni Jeshi kuwa upande wao, maana ilifika muda jeshi likaingia pale mwanzoni kuzuia askali kuwapiga raia…, na ukiangalia video utaona wanajeshi wapo ikulu kuzuia askali au chombo chochote kuwapiga raia wakati Gen Z wakizama ikulu kuvunja vunja vitu..,.ila Gen Z ya kenya haikupata support ya Jeshi.Habari za usiku huu
Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao. Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais.
Nepal hapo tumeambiwa ni ndani ya saa 36 tu wameng'oa utawala wa kifisadi wa nchi hiyo licha ya awali kutishwa na vyombo vya dola.
Najiuliza tu, huenda majeshi ya kiafrika ni imara sana au katili sana kiasi cha kumudu kudhibiti ukinzani wowote.
Unajua maana ya impossible?Hao laki 5 inabidi pawepo na strategy za kutosha kumobilize. Ni ngumu, na kwa mantiki hiyo ni impossible
Kwanza sheria za kimataifa hairuhusu kutumia silaha za moto kwa waandamaji na pili kama serikali iliyopo madarakani inachukiwa hadi na vyombo vya ulinzi, ni ngumu kwa vyombo kujitoa kwa kutumia nguvu kuzuia, badala yake watajifanya kuzidiwa ili tu serikali ianguke na wao wafurahi (case study ni hapo Nepal)Violence ikiwa juu, Rais ana Mandate ya Kumobilize Security Organs zote ku combat hio criminality
Uko sahihi lakini maandamano yamebeba mambo mengi sana Kuna Vandalism unakuwa in place pia kwa kigezo cha Maandamano, Hapo Juu nimetoka statement kuwa inafika time haya Mambo yanakuwa na Blessings na Hierarchy au Elites team behind the scene kutoka kwenye security organs na Ndio inafika muda hakuna tena order inayotolewa Ili kupunguza casualties na kuruhusu Serikali iliyopo iwe overthrown, It's a Well Coordinated and Plotted MoveKwanza sheria za kimataifa hairuhusu kutumia silaha za moto kwa waandamaji na pili kama serikali iliyopo madarakani inachukiwa hadi na vyombo vya ulinzi, ni ngumu kwa vyombo kujitoa kwa kutumia nguvu kuzuia, badala yake watajifanya kuzidiwa ili tu serikali ianguke na wao wafurahi (case study ni hapo Nepal)
Hakuna ugumu wowoteHao laki 5 inabidi pawepo na strategy za kutosha kumobilize. Ni ngumu, na kwa mantiki hiyo ni impossible
Ushasema wamemtoa mubaraki unauliza tena kitu gani kimebadirikaKitu gani kimebadirika baada ya kumtoa Mubarak?
Wewe mwenyewe hauko tayari kuingia mtaani kwa ajili ya kuitoa CCM madarakani ila unategemea wasomaji wengine ndiyo waingie. Wewe kama umekereka anza hata saa hizi,
Watu laki 5 ni wengi sana unahitaji watu 100 tuSio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.