Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
- Thread starter
-
- #21
Yani nimeshangazwa na ujasiri wake wa kwenye keyboard. Anatufaa sana kwenye real life 🤠Kibodi woriazi mitandaoni mnakuwa wakali kama nyuki ila mkiambiwa zima data muongeze jahazi offline mnaanza kujiliza kama nzi.
Ndio maana nimauliza pengine majeshi yetu ya kiafrika ni imara au katili kiasi cha kutotaka kuungana na raia dhidi ya udhalimu. Kingine ninachoona ni kuwa viongozi wengi wa kiafrika wanaapply sana divide and rule ndio maana wanafanikiwa kwenye hila zaoKilichowasaidia Gen Z wa Nepal ni Jeshi kuwa upande wao, maana ilifika muda jeshi likaingia pale mwanzoni kuzuia askali kuwapiga raia…, na ukiangalia video utaona wanajeshi wapo ikulu kuzuia askali au chombo chochote kuwapiga raia wakati Gen Z wakizama ikulu kuvunja vunja vitu..,.ila Gen Z ya kenya haikupata support ya Jeshi.
Yes me naona shida ni nani awe wa kwanza kutoka 🤣 ujue ukiona watu wengi hata ww utahamasika. Shida nani atajitoa muhanga kuongoza hayo maandamano??Watu laki 5 ni wengi sana unahitaji watu 100 tu
Kaka una misplaced anger. This shit aint sit well.Wengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.
Bro, Gunshot aftermath reactions in real life is totally different from the moviesYani nimeshangazwa na ujasiri wake wa kwenye keyboard. Anatufaa sana kwenye real life 🤠
People don't realize that they have it so good here. That doesn't mean nothing should happen. If anything should happen, it should be that every single third world country should collectively sanction the US and Europe until the US and Europe fall to their knees.Habari za usiku huu
Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao.
Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais.
Nepal hapo tumeambiwa ni ndani ya saa 36 tu wameng'oa utawala wa kifisadi wa nchi hiyo licha ya awali kutishwa na vyombo vya dola.
Najiuliza tu, huenda majeshi ya kiafrika ni imara sana au katili sana kiasi cha kumudu kudhibiti ukinzani wowote.
Usifuge mbwa kutegemea mavi ya mlevi. Mnahamasisha maanadamano mkitegemea watoto wa wenzenu ndiyo WAKINUKISHE, halafu nyinyi mwasubiri taarifa ya habari kwenye TV na mitandao ya jamii.Ushasema wamemtoa mubaraki unauliza tena kitu gani kimebadirika
Misri baada ya kuondoka kwa Mubaraki imeshamiri kidemokrasia na kiutalii, kabla ya Mubarik Misri ilikuwa inapokea watalii wasiozidi 10m ila sasa hivi inapokea mpaka watalii 20m kwa mwaka.Usifuge mbwa kutegemea mavi ya mlevi. Mnahamasisha maanadamano mkitegemea watoto wa wenzenu ndiyo WAKINUKISHE, halafu nyinyi mwasubiri taarifa ya habari kwenye TV na mitandao ya jamii.
Shida siyo kumtoa Mubarak, bali ni kubadili mfumo wa Misri ambayo ma Rais lazima wawe wanajeshi.
Kama una elimu kidogo soma historia ya Misri kuanzia mwaka 1954 uone akina Mohamed Naguib, Gamal Abdel Nasser, Anwar Sadat, Mubarak, Morsi and then Al Sisi. Utaniambia kwa nini katika miaka zaidi 70 Rais ambaye siyo mwanjeshi ni Morsi tu
Ila jamiiforum siku hizi imejaa watu akili kisoda.Sasa mtu anauliza juu ya yaliyofanyika Kenya na huko kwingine,wewe unarukia Tz!.Sio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Nipe namba ya kulipia bili ya milo yako yote na vinywaji utakavyokula wiki nzima. Vijana positive wapo wachache sana miaka hii. Wengi ni makuruta wa umasikini na uzembe katika jina la ustaarabu.Sio uimara wa majeshi; ni uoga wa wananchi. Wewe unadhani watu hata laki tano tu wakiamua kuingia barabarani ili kuing’oa Serikali dhalimu ya CCM, kuna jeshi linaloweza kuiokoa hiyo club ya majambazi? Kwanza JWTZ halina mandate ya kupigana vita dhidi ya Wananchi.
Kuna brain power na body power kila mtu ajaze alipojaliwa. Kuna watu ukiwapa mic 🎤 hawezi kuongea chochote anatetemeka,ukimpa keyboard ⌨️ anaishia kusema "Kazi kweli kweli" hana vya kusema. Ila ukimwambia ingia barabarani then haogopi kusonga hata askari awe amevaa vest ya mabomu ya kujilipua na makombora yeye atataka apishwe na atamtoa askari nishai atake asitake atampisha.Kibodi woriazi mitandaoni mnakuwa wakali kama nyuki ila mkiambiwa zima data muongeze jahazi offline mnaanza kujiliza kama nzi.
Naskia Gen Z wa Kenya wanataka kukiwasha tena ila safari hii wanamalizana kabisa na serikali wanaandika katiba mpya.Hao nepal ni hatari hadi wakenya wenyewe wameduwaa.
Wewe sheria ya ulinzi wa taifa unaifahamu vema?Violence ikiwa juu, Rais ana Mandate ya Kumobilize Security Organs zote ku combat hio criminality
upo sahihi kabisa yupo ticha mmoja alikua fala tu ghafla akawa afisa kilimo akafisadi mbolea za ruzuku akapata pesa nyingi sana alivyoingia jpm akawa wa kwanza kumponda na kawa mpinzani ili akiguswa aseme anasumbuliwa kisa mpinzaniWengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.
Vandalism mkiona mtu anaiba si mnamuunganisha kwenye mkong'oto? Yaani mshindwe kumuadabisha mtu au watu ambao wanafanya uhalifu?Uko sahihi lakini maandamano yamebeba mambo mengi sana Kuna Vandalism unakuwa in place pia kwa kigezo cha Maandamano, Hapo Juu nimetoka statement kuwa inafika time haya Mambo yanakuwa na Blessings na Hierarchy au Elites team behind the scene kutoka kwenye security organs na Ndio inafika muda hakuna tena order inayotolewa Ili kupunguza casualties na kuruhusu Serikali iliyopo iwe overthrown, It's a Well Coordinated and Plotted Move
Hawa ndio sampuli ya watu wanaotia mimba mademu kisha wanakimbia sababu ya uoga. Sasa mtu anauliza nini kimebadilika na anaona kabisa regime ya wahuni imetolewa nje ya serikali,maswali gani ya kipuuzi hayo.Ushasema wamemtoa mubaraki unauliza tena kitu gani kimebadirika
Haya huwa hawayaoni sababu ya ukoko wa kuishi kwa manyanyaso na uonevu kwenye akili zao za praise team.Misri baada ya kuondoka kwa Mubaraki imeshamiri kidemokrasia na kiutalii, kabla ya Mubarik Misri ilikuwa inapokea watalii wasiozidi 10m ila sasa hivi inapokea mpaka watalii 20m kwa mwaka.
Misri ya sasa kamwe huwezi kuilinganisha na tanzania ya ccm inayoongozwa na samia.
Misri ya sasa serikali inawaheshimu sana wanainchi wake na huwezi kukuta watoto wa viongozi wanachezea maburungutu ya hela za walipa kodi.
Mkuu ubarikiwe sana kwa kuwasilisha mawazo yangu..Wengi wanaojifanya wanapenda mabadiliko ndo kwanza washafika maofisini. Aminini kikinuka ndo tunaanza na nyinyi, wengi mnaponda wanasiasa tambueni nyinyi ndo mizizi ya ufisadi.
Unakuta pumbavu moja lipo halmashauli Kwa kubebwa siku mbili tatu linanunua gari kupitia wizi. Sio hatuoni tunasitiliana tu. Siku tukichoka mtafute vichaka vya kujificha manyang'au nyny.