Gen Z wa Nepal Vs Gen Z wa Kenya; ina maana majeshi ya kiafrika ni imara au katili?

Haya huwa hawayaoni sababu ya ukoko wa kuishi kwa manyanyaso na uonevu kwenye akili zao za praise team.

Jitu linakuwa jinga chronically hadi haki linaona ni option na ni haramu kupewa
Kaka mimi mwenzio mpaka kuna muda huwa najichukia kuzaliwa kwenye taifa kama hili lenye wajinga kibao.

Imagine unakuta jitu ni lisomi kabisa linatetea ufisadi unaofanywa na Suleiman Mombo tena kwa hoja za kitoto kabisa, eti ooh zile dollar ni fake hakuna ukweli pale, mara ooh yule mombo mbali na kuajiriwa ni mfanya biashara acheni Wivu....!!

Mbaya zaidi unakuta linatetea hao mafisadi waendelee kuitafuna hii nchi wakati huo huko kijijini kwao bibi yake hana hata maji safi na salama... yaan kwa vile tu lenyewe limezoea kupewa vuelfu kumi kumi basi linaona sawa tu watawale waendelee kutuibia.

Kuna majitu majinga sana nchi hii
 
Ila jamiiforum siku hizi imejaa watu akili kisoda.Sasa mtu anauliza juu ya yaliyofanyika Kenya na huko kwingine,wewe unarukia Tz!.
Obviously brain yako haina uwezo wa kuchakata hata basic information! Hayo aliyoyaita “majeshi ya kiafrika” ni majeshi ya wapi?
 
Inawezekana sana tuu. Kila mtu asikae ndani atoke nje amuangalie jirani yake. Hakuna kupanga seheu ya kukutania just msikae ndani. Hakuna polisi wala jeshi lolote linaweza kuwa kila mahali kuwarudisha watu ndani kwao......... Baada ya hapo ndio nguvu ya umma inaonekana.
 
Endelea kusoma kwa kuelewa historia ya Misri, bado hujanielewa nilichoandika
 

Hii ndo point.

Serikali ya Kenya bado inawajibika kwa kiasi chake, Hata wananchi wapo wanao msapport luto, na wapo wanao mkataa hivo haikua raisi kupata baraka za Jeshi. Another case study ilikua Zimbabwe lkn pia Uganda ni swala la muda tu
 
Hili ndio jibu sahihi. Jeshi liliamua kuwa neutral, kutozuia raia kuandamana na pia kuzuia polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji.
 
Naskia Gen Z wa Kenya wanataka kukiwasha tena ila safari hii wanamalizana kabisa na serikali wanaandika katiba mpya.
Pengine kilichowafanya kutofanikiwa walivyotaka ni kukosa malengo. Now wanaweza kufanikisha wakiwa wanajua hatma yao
 
Hili ndio jibu sahihi. Jeshi liliamua kuwa neutral, kutozuia raia kuandamana na pia kuzuia polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji.
Tunahitaji insider information na informers toka vyombo vya dola ili taarifa sahihi zipatikane kama kuna uungwaji mkono toka vyanzo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…