Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za kiuchumi ama zinamilikiwa na wajanja wachache na hasa viongozi na familia zao na marafiki wao.
Njia pekee ya kujikwamua na kujikomboa kutoka katika makucha ya vigogo hawa wachache wanaofaidi keki ya Taifa ni UMOJA.
Bila Gen Z wote kuungana na kupigania haki zenu mmekwisha! Hakika mtabaki hoi na watumwa maisha yenu yote na kuwa watazamaji wa mali za nchi zikiporwa na kuuzwa kwa mataifa mengine. Ardhi, madini, misitu, mito, maziwa na bahari vyote vitachukuliwa na wageni na ninyi mtabaki wapangaji katika nchi yenu wenyewe!
HILI NI BARAGUMU LA KUWAAMSHA KUTOKA USINGIZI WA PONO!
VIJANA AMKENI NCHI INAPORWA!
VIJANA SHIKAMANENI KUPIGANIA HAKI NA NCHI YENU
VIJANA ACHENI KUBAGUANA KIITIKADI UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI KIAMA CHENU!