Gen Z wa Tanzania mkiacha kugawanyika kwa misingi ya kiitikadi ya kisiasa mtajikomboa haraka

Mkuu hawawezi kujikomboa kwani wao watatumika kama ilivyotokea Kenya, Laila akatumia mwanya huo kusala vyeo lwa chama chake.Now their back to square one while Unbwagable Raila is celebrating with President Ruto.
Ni vizuri wajifunze uzoefu huu kutoka Kenya. Kitu cha kujifunza ni kuwa waporaji ni wazee ambao wanafanya hivyo kwa manufaa ya familia zao kwani wana hofu kuwa watoto na wajukuu wao hawawezi kutoboa kwenye fair competition!
 
Tanzania hakuna gen z, kuna wanodanga , wanaobeti na walevi tu.
 
Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za kiuchumi ama zinamilikiwa na wajanja wachache na hasa viongozi na familia zao na marafiki wao.

Njia pekee ya kujikwamua na kujikomboa kutoka katika makucha ya vigogo hawa wachache wanaofaidi keki ya Taifa ni UMOJA.

Bila Gen Z wote kuungana na kupigania haki zenu mmekwisha! Hakika mtabaki hoi na watumwa maisha yenu yote na kuwa watazamaji wa mali za nchi zikiporwa na kuuzwa kwa mataifa mengine. Ardhi, madini, misitu, mito, maziwa na bahari vyote vitachukuliwa na wageni na ninyi mtabaki wapangaji katika nchi yenu wenyewe!

HILI NI BARAGUMU LA KUWAAMSHA KUTOKA USINGIZI WA PONO!

VIJANA AMKENI NCHI INAPORWA!

VIJANA SHIKAMANENI KUPIGANIA HAKI NA NCHI YENU

VIJANA ACHENI KUBAGUANA KIITIKADI UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI KIAMA CHENU!
Tanzania haina generation Z, wapo wapo tu.
 
Katika familia yako au ndugu zako
Je,ume wahamasisha waamke katika usingizi wa Pono?
 
Ukidhani Gen Z kwingine hawafungamani na vyama vya siasa utastajabu kwa nini Kenya kumetulia baada tu ya vigogo wa ODM kutimba serikalini.
 
Kutimba kwao serikalini kunatokana na umoja wa Gen Z bila kujali itikadi za kisiasa! Bila hivyo vurugu ingechukuwa muda mrefu.
 
Zingatia waliotimba huko ni ODM Wala si azimio ndugu.

Kudhani Gen Z walipigania ODM waingie serikalini itakuwa ni kujidanganya mnazi na dodo huzaa.
 
Tabu ya wewe chawa ni njaa kali hadi kufubaza uwezo wako wa kufikiri! Unasubiri uteuzi kwa hiyo kwako umoja ni tishio la kitumbua chako. Endelea kusubiri embe chini ya mnazi!

Gen Z Kenya walitangaza hadharani kutofungamana na chama cha siasa, kama unabisha na hilo siwezi kukushangaa!

Umoja wenu ndiyo kesho yenu.
 
Kumbe ukitangaziwa na CCM kuwa wao ni machampioni wa demokrasia utakuja hapa na huo ukiwa ndiyo uthibitisho wako?

Wako sasa si uchawa tu bali na ujinga humo humo!

Vibiongo vitawamaliza mkikimbia uwajibikaji. Kwamba Gen Z ni spontaneous ni mawazo mfu ya vyama visivyojitambua au visingizio kukimbia uwajibikaji.

Usione vyaelea ndugu.

Endelea kukomaa kamanda, bila kusahau kukunja ngumi na kuzungusha.

imhotep nduguyo mwingine huyo. Sokomeza kwenye lile kapu lao.
 
Ningeshangaa kama chawa angekuwa na hoja. Bahati mbaya sana kwa chawa Kamanda akihamia CCM anatoboa mnabaki kumpamba na kumsifia!
 
Ningeshangaa kama kamanda mwenye kibiongo anaweza kuachana na kukomaa, kukunja ngumi na kuzungusha kusiko na tija. Kwamba, huku akiomba Mungu Gen Z waibuke kama mvua, ili yeye aelekee ikulu kula kuku kwa mrija.

Nchi hii haitakombolewa kwa mgongo wa kuwatumia wengine kama k"ndom*.

Kenya, Odinga na ODM wako mstari wa mbele. Ila wewe ungependa wa kutumia kama grader siyo?

Ninyi ni mzigo, hakuna lolote. Bora mkakaa kimya.

Bure kabisa!
 
Endelea kulamba viatu vya mabwana zako lakini makamanda ndiyo think tank ya CCM na kuwapata lazima rushwa itoke, makada mnaishia kupewa fulana!
 
Tofautisha makamanda na makamanda wenye vibiongo kama wewe.

Wewe mwenye kibiongo endelea kulamba viatu vya mabwana zako:

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

Ila Gen Z wa kusakizia kama mbwa huyo mtamsubiria sana kuliko wanaosumbiria Yesu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Tofautisha makamanda na makamanda wenye vibiongo kama wewe.

Wewe mwenye kibiongo endelea kulamba viatu vya mabwana zako:

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

Ila Gen Z wa kusakizia kama mbwa huyo mtamsubiria sana kuliko wasubiria sana.

Habari ndiyo hiyo.
Kamanda ni Kamanda tu bila kujali maumbile yake lakini ndiyo hao wanainyima usingizi CCM na kuishia kuwanunua kwa gharama kubwa! Makamanda wako serikalini, makada wao mitaani njaa kali!
 
Kamanda anayeitisha Gen Z kwa mtaji huu:

IMG_20220826_161105_738.jpg

Yeye akiwa kafichama nyumbani huyo ni mzigo.

Kawaangalie wote mlio na vibiongo mngependa kuamini Gen Z ni spontaneous.

Kwamba nyie mngependa kuishi ila kama vipi wale, sivyo?

Kamanda kama huyo hana kitisho chochote hata kwa nzi!
 
Kamanda anayeitisha Gen Z kwa mtaji huu:

View attachment 3063217

Yeye akiwa kafichama nyumbani huyo ni mzigo.

Kawaangalie wote mlio na vibiongo mngependa kuamini Gen Z ni spontaneous.

Kwamba nyie mngependa kuishi ila kama vipi wale, sivyo?

Kamanda kama huyo hana kitisho chochote hata kwa nzi!
Kada wa CCM hana tofauti na nguruwe 🐖 subiri makombo!
 
Mkuu wakati wenu mlifanya nini hadi muanze kuwasakama hawa watoto Generation Z

Kwa sababu tukienda katika uhalisia, hakuna mwenye hiyo haki ya kuwasema ilhali vyovyote walivyo au chochote wanachopambana nacho ni matokeo ya failure za vizazi vilivyopita
Wao kutokufanya haihalalishi sisi kutokufanya
 
Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za kiuchumi ama zinamilikiwa na wajanja wachache na hasa viongozi na familia zao na marafiki wao.

Njia pekee ya kujikwamua na kujikomboa kutoka katika makucha ya vigogo hawa wachache wanaofaidi keki ya Taifa ni UMOJA.

Bila Gen Z wote kuungana na kupigania haki zenu mmekwisha! Hakika mtabaki hoi na watumwa maisha yenu yote na kuwa watazamaji wa mali za nchi zikiporwa na kuuzwa kwa mataifa mengine. Ardhi, madini, misitu, mito, maziwa na bahari vyote vitachukuliwa na wageni na ninyi mtabaki wapangaji katika nchi yenu wenyewe!

HILI NI BARAGUMU LA KUWAAMSHA KUTOKA USINGIZI WA PONO!

VIJANA AMKENI NCHI INAPORWA!

VIJANA SHIKAMANENI KUPIGANIA HAKI NA NCHI YENU

VIJANA ACHENI KUBAGUANA KIITIKADI UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI KIAMA CHENU!
Nasubiri Gen K nile mema ya nchi
aka papuchino
 
Back
Top Bottom