Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

Wasingoje ajira za serikali tu, waingie mitaani kwenye sekta binafsi.
Kati ya kauli ya hovyo na ambayo binafsi huwa naichukia sana ni hii!

Kwa nini 'mizee' iliyoko serikalini na mingine inagombania nafasi za kisiasa, isiachie hizo nafasi na badala yake itumie fedha ilizochuma kujiajiri na badala yake mnawalazimisha vijana wadogo wasio na mitaji kujiajiri?!

Anyway, Mungu yuko.
 
Hata ukiwa sekta binafsi unaweza kuwa mwana siasa, na si lazima muajiriwa wa serikalini ndiyo awe mwana siasa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
mkuu ajira hazitoki kwakua serikali yetu haina hela.... na kwanini haina hela ni matumizi makubwa ya fedha kwenye uendeshaji wake...

mfano swala kama mwenge lingeweza kulipa watumishi wangapi? japo watumishi hao hao hulazimishwa kuuchangia mwenge kwenye wilaya husika.
ununuzi wa magari ya viongozi unashuhudia msafara wa lc 300 kama 30 zinampitisha kiongozi.
unadhani haya matumizi ni lazima au viongozi wanataka kutuonyesha kwamba hatuna la kufanya?

leo tunakopa nje na bado tumewekwa kwenye nchi maskini zaidi na sio kuwekwa ndio uhalisia

ogopa nchi ambayo wanatenga bajeti ya kununua magari mapya wakati yaliyopo bado yanalipa vizuri tu ninkamfumo ka kujimilikisha kanatafutwa
Lakini mbona kwenye Bajeti inayopitishwa (kukubaliwa)na Bunge kuna kipengele cha Ajira mpya? Nadhani kunakosekana Ufuatiliaji ili kujua Ajira zilizoombwa kwenye Bajeti iliyoidhinishwa imetekelezwa?
Halafu haiingii akilini eti kila mwaka unanunua magari. Gari kiserikali au kwenye Miradi ya Ufadhili (DFP) husemwa limechoka after 3yrs+. Hapa naona kuna sintofahamu (No justification).
 
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa maisha wanaokabiliana nao sasa.
Viongozi wangu, msijiamini kupitiliza kwamba nyinyi mna mifumo imara kuliko huko kunakofuka moto sasa.

Wanasema mwenye njaa mara zote huwa na hasira.
Pia wanasema kama huna kazi ya kufanya, basi chochote kinachokuja mbele yako unaweza kujikuta unakifanya! Shetani huwatumia sana wasio na kazi kutimiza agenda zake ovu.

Maandamano ni kama ugonjwa wa kuambukiza. Mara nyingi nchi nyingi zenye matatizo kama vile Libya, Tunisia, Misri, Sudan, na sasa Kenya na Uganda, maandamano huwa yanaanza kidogo kidogo na baadaye kusambaa nchi nzima!

Kama hali ikiendelea hivi ilivyo, basi tusishangae kuwaona Gen Z wetu nao wakiingia barabarani kuandamana.
Naomba kuwasilisha.

Kwani hata Uganda wako moto kama Kenya?

GTKZtfqWEAAAqVa.jpeg

Kwanini Kenya si Uganda, Tanzania, Rwanda au Burundi?

imhotep, komaa kamanda.

Tatizo siyo huu ukomavu tunaoitishana wakati wengine twala?
 
Hata ukiwa sekta binafsi unaweza kuwa mwana siasa, na si lazima muajiwa wa serikalini ndiyo awe mwana siasa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Bi mkubwa, kuna sehemu huenda hatuelewani.
Anyway, serikali inafanya jitihada gani kuhakikisha hizo sekta binafsi zinaajiri vijana wengi?
Mbona nyingi, badala ya kuongeza waajiriwa zimejikita kwenye kupunguza idadi ya waajiriwa kutokana na sera mbovu za serikali?!
Anyway, ni ushauri tu kwa nchi yangu, maana wanasema huwezi kuwa salama kama jirani yako hayuko salama.
Tujitahidi kuchukua hatua na tahadhali ili Taifa letu liendelee kustawi na kudumisha amani.
 
Hata ukiwa sekta binafsi unaweza kuwa mwana siasa, na si lazima muajiwa wa serikalini ndiyo awe mwana siasa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Halafu huyo tuseme hajui Taratibu za Ajira Serikalini na Ukomo wa Ajira Serikalini. Anadhani ukiajiriwa Serikalini unajiondokea tu bila vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Bi mkubwa, kuna sehemu huenda hatuelewani.
Anyway, serikali inafanya jitihada gani kuhakikisha hizo sekta binafsi zinaajiri vijana wengi?
Mbona nyingi, badala ya kuongeza waajiriwa zimejikita kwenye kuounguza idadi ya waajiriwa kutokana na sera mbovu za serikali?!
Anyway, ni ushauri tu kwa nchi yangu, maana wanasema huwezi kuwa salama kama jirani yako hayuko salama.
Tujitahidi kuchukua hatua na tahadhali ili Taifa letu liendelee kustawi na kudumisha amani.
Tembelea mkoa wa Pwani uone viwanda vipya, kila sehemu.

Kwani sekta binafsi lazima uajiriwe, kwanini hujiajiri wewe mwenyewe?

SG
 
Tatizo siyo huu ukomavu tunaoitishana wakati wengine twala?
Nitaongelea Vijana wetu wa GenZ wa hapa Bongo ningependa waulizwe kipi bora kwao ni Ajira za kutosha Katiba au Simba/Yanga au Taifa Starz kuchukua Ubingwa?

Kipaumbele chao GenZ wetu ni nini?!
 
Utajiajirije mwenyewe bila mtaji wala uzoefu Madam?!
Ndo maana ushauri wangu ni kwa wazee wote walioko serikalini, watoke wakajiajiri ili waachie vijana nao waajiriwe na serikali.
Lakini utashangaa wazee wengine licha ya kufikia umri wa kustaafu, bado wanaomba waongezewe muda au wafanye kazi kwa mkataba huko huko serikalini!
Tembelea mkoa w Pwani uonne viwanda vipya, kila sehemu.

Kwani sekta binafsi lazima uajiriwe, kwanini hujiajiri wewe mwenyewe?

SG
 
Nitaongelea Vijana wetu wa GenZ wa hapa Bongo ningependa waulizwe kipi bora kwao ni Ajira za kutosha Katiba au Simba/Yanga au Taifa Starz kuchukua Ubingwa?

Kipaumbele chao GenZ wetu ni nini?!

Mtawalaumu bure Gen Z Tanzania. Ama kwa hakika mtamaliza bucha zote ..

Kwani ni hawa wanaoambiwa "komaa kamanda?"
 
Sisi Makamanda tumeandamana Maandamano ya Amani Nchi nzima GeZ hawakutia timu.
 
Bi mkubwa, kuna sehemu huenda hatuelewani.
Anyway, serikali inafanya jitihada gani kuhakikisha hizo sekta binafsi zinaajiri vijana wengi?
Mbona nyingi, badala ya kuongeza waajiriwa zimejikita kwenye kuounguza idadi ya waajiriwa kutokana na sera mbovu za serikali?!
Anyway, ni ushauri tu kwa nchi yangu, maana wanasema huwezi kuwa salama kama jirani yako hayuko salama.
Tujitahidi kuchukua hatua na tahadhali ili Taifa letu liendelee kustawi na kudumisha amani.
Ninachangia tu; huyo unayemwita Bi mkubwa atakujibu kwa wakati wake.
Nanukuu hojahii:
Anyway, serikali inafanya jitihada gani kuhakikisha hizo sekta binafsi zinaajiri vijana wengi?
Mbona nyingi, badala ya kuongeza waajiriwa zimejikita kwenye kuounguza idadi ya waajiriwa kutokana na sera mbovu za serikali?!

1. Jitihada za Serikali ni kuweka mazingira Rafiki au mazingira wezeshi ili Sekta binafsi ziweze kushamiri e.g. Uwekezaji. Serikali haiwezi (Haina mamlaka) kuwaelekeza Sekta binafsi namna ya kuajiri.
2. Kwa wakati tulio nao, Teknolojia imeendelea (Advance)sana kiasi hivi kwamba hawahitajiki tena watumishi-watu wengi kwani matumizi ya Technolojia yamepunguza au yamefuta kabisa baadhi ya ajira e.g. matumizi ya Compyuta, matumizi ya Akili bandia (AI) n.k. e.g. utakuta ajira za masekretari (makarani) ofisini ni chache au hazipo, matumizi ya kamera za cctv zimechangia sana kupunguza walinzi, Matumizi ya Mitandao imeondoa uhitaji wa watu wa kutuma kupeleka barua/Taarifa n.k.
 
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa maisha wanaokabiliana nao sasa.
Viongozi wangu, msijiamini kupitiliza kwamba nyinyi mna mifumo imara kuliko huko kunakofuka moto sasa.

Wanasema mwenye njaa mara zote huwa na hasira.
Pia wanasema kama huna kazi ya kufanya, basi chochote kinachokuja mbele yako unaweza kujikuta unakifanya! Shetani huwatumia sana wasio na kazi kutimiza agenda zake ovu.

Maandamano ni kama ugonjwa wa kuambukiza. Mara nyingi nchi nyingi zenye matatizo kama vile Libya, Tunisia, Misri, Sudan, na sasa Kenya na Uganda, maandamano huwa yanaanza kidogo kidogo na baadaye kusambaa nchi nzima!

Kama hali ikiendelea hivi ilivyo, basi tusishangae kuwaona Gen Z wetu nao wakiingia barabarani kuandamana.
Naomba kuwasilisha.
🤣🤣🤣 Tz hii au ip sasa ww Gen z unataka utuambie ss wauza chps tuache then tuandamane kuwapigania majitu yaliyo enda kupata elimu ya kukaririshwa kwl nawapa pole sana mmeambiwa mkalime kuna toyo na bajaj sasa we unataka kwenda BOT na wakat umesoma komb mama (HKL)
 
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa maisha wanaokabiliana nao sasa.
Viongozi wangu, msijiamini kupitiliza kwamba nyinyi mna mifumo imara kuliko huko kunakofuka moto sasa.

Wanasema mwenye njaa mara zote huwa na hasira.
Pia wanasema kama huna kazi ya kufanya, basi chochote kinachokuja mbele yako unaweza kujikuta unakifanya! Shetani huwatumia sana wasio na kazi kutimiza agenda zake ovu.

Maandamano ni kama ugonjwa wa kuambukiza. Mara nyingi nchi nyingi zenye matatizo kama vile Libya, Tunisia, Misri, Sudan, na sasa Kenya na Uganda, maandamano huwa yanaanza kidogo kidogo na baadaye kusambaa nchi nzima!

Kama hali ikiendelea hivi ilivyo, basi tusishangae kuwaona Gen Z wetu nao wakiingia barabarani kuandamana.
Naomba kuwasilisha.
Kwahakika umenena
 
Sisi Makamanda tumeandamana Maandamano ya Amani Nchi nzima GeZ hawakutia timu.

Ni tatizo kubwa zaidi kutaka kuwatofautisha Gen Z na makamanda.

Komaa kamanda. Kunja ngumi.
Zungusha!
 
mkuu ajira hazitoki kwakua serikali yetu haina hela.... na kwanini haina hela ni matumizi makubwa ya fedha kwenye uendeshaji wake...

mfano swala kama mwenge lingeweza kulipa watumishi wangapi? japo watumishi hao hao hulazimishwa kuuchangia mwenge kwenye wilaya husika.
ununuzi wa magari ya viongozi unashuhudia msafara wa lc 300 kama 30 zinampitisha kiongozi.
unadhani haya matumizi ni lazima au viongozi wanataka kutuonyesha kwamba hatuna la kufanya?

leo tunakopa nje na bado tumewekwa kwenye nchi maskini zaidi na sio kuwekwa ndio uhalisia

ogopa nchi ambayo wanatenga bajeti ya kununua magari mapya wakati yaliyopo bado yanalipa vizuri tu ninkamfumo ka kujimilikisha kanatafutwa
Ajira siyo serikalini, ni kuwezesha vijana wetu kutumia uwanja wao wa nyumbani (ardhi ya Tanzania) na hata ugenini katika kuzalisha mali na huduma.
Sera na vitendo vya kijinga vya kuruhusu na hata kuwapa wageni chakula cha watoto (upendeleo maalum, misamaha ya Kodi, kufanya shughuli na biashara ndogo ndogo,...) ndilo kosa kubwa la serikali.
Ujinga huu upo kuanzia TIC, Uhamiaji, wizar ya kazi na ajira, na taasisi nyingine za serikali.
Ni muhimu kuwa na serikali yenye watumishi wachache huku sekta binafsi ikiwa mwajiri mkuu kupunguza rushwa, ufisadi na hata wageni kutufanya shamba la bibi (kwa kuwa ili mtumishi wa serikali awe tajiri lazima awe mwizi au mla rushwa kwa sababu mazingira ya kazi take hayamtajirishi hata kama atakuwa na bidii kubwa au ubunifu).
 
Back
Top Bottom