Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

Gender imetengenezwa na mwanadamu kuwa mwanamke atakuwa nafanya kazi hizi na mwanaume hizi

Mfano secretary watu wanaamini ni kazi ya kike

Doctor watu wanaamini ni kazi ya mwanaume

Jambo ambalo halina ukweli ndani yake gender ni pana sana naweza kuilezea kwa gazet nzima kabisa siku au wiki nzima

W
Sex roles ndio gender?
Mgawanyo wa majukumu ndio gender?
 
Ndio maana nasema huelewi kitu ndio maana una hoja za kijinga walio helewa soma comment za juu wameelewa nini na maanisha
Sawa nina hoja za kijinga.

Ila naomba uni eleze kwamba 👇

Ni jamii ya watu gani dunia hii ambapo wanaume hulia hulia hovyo?
 
Shida ndio hizi hapa elimika mzee acha upumbavu wakijinga ambao huna faida yoyote unaendekeza upumbavu kwavitu vya kijinga

Ushawai jiuliza kwanini wanaume wanakufa mapema na dunia kubaki na idadi kuwbwa ya wanawake?
Wanaume hawafi mapema kwa hizo sababu ulizosema hapo juu,wanaume wanakufa mapema kwasababu ndivyo walivyoumbwa kua risk taker tofauti na wanawake.Ata wanyama wa mwituni na wakufuga madume yanakua na harakati nyingi zinazohatarisha maisha yao zaidi tofauti na majike.Mambo mengine ni nature.Ukijiona unaona kua mwanaume kuna kasoro jua uko na shida inakunyemelea.
 
Umeenda mbali sana

Ipo hivi my fact kuna sio kwenye nguo ila nimechukulia mfano ili apate kunielewa kwa uwepesi

Kuna vitu katika jamii yetu leo mimi nikionekana na fanya lazima nitadharaulika

Mfano mimi nimeumizwa na kitu hasira imepanda sana lakini natamani kulia au kuongea na watu ili wajue yaliyo ni thibu ila jamii imenitengeneza mimi kuwa sipaswi kulia au nitakapo jaribu kushare na watu tatizo lile wapo watakalo liona ni dogo sana kwa mwanaume kwasababu jamii imemtengeneza mwanaume kutoweza kuonyesha feeling zake mbele za hadhara ndio maan tunarudiwa kutendewa makosa yale yale kila siku kwasababu wengine hawajui kama haya tunayotendewa yana tuumiza tofauti na mwanamke akichukia ata show kuwa amechukuia na mtu atakuwa chonjo kutofamfanyia lile tena kwasababu anatambua kuwa atakwazika hapo sijui umenielewa
Ukijiona una feelings za hivyo jua wewe ni dhaifu.Kua mwanaume sio kitu rahisi kama utakua unawaza kulia nakuonyesha hisia zako dhaifu hadharani.Kama una hayo mawazo wewe haujakamikika kua mwanaume kamili.Mungu alimuumba wanaume awe imara kuanzia Misuli ya mwili hadi ubongo wenye uwezo wakucontrol hisia na kila kitu kinachomzunguka.
 
Mkuu namchukia sana alie leta habari za gender leo mm mtoto wakiume naumizwa nashindwa kulia au kuongea kwa uwazi kisa tu mwanaume tume mezeshwa vitu vya kijinga that why tunakufa mapema kisa kuficha hisia
Haya maelezo ulitakiwa kuyaweka kwenye maelezo ya awali usingeletewa matusi. Kiujumla wazo lako ni zuri ila halina nyama.

Mf.1 Unataka kukopa fedha za Halmashauri unaambiwa ni za wanawake, vijana na walemavu. Kwa mujibu wa gender basi wanaume umri wa wazee hawaruhusiwi kukopa.

Mf.2 Unataka gari lako automatic lisajiriwe bolt na uendeshe mwenyewe lakini unakataliwa kwa sababu umekatwa mguu mmoja.
Mf.3 kuna fursa ya ajira kitengo fulani ila huwezi kuajiriwa kwa sababu we ni mfupi au mrefu sana au umechora tattoo.
 
Kumbe wewe ni mwanamme?
Halafu unajiweka picha ya mdada na kifua wazi?
Nafikiri unamatatizo ya kisaikologia!
Tungeanzia hapo
Kama age hiyo ujui kutofautisha kifua cha mwanaume na mwanamke rudi shule
 
Haya maelezo ulitakiwa kuyaweka kwenye maelezo ya awali usingeletewa matusi. Kiujumla wazo lako ni zuri ila halina nyama.

Mf.1 Unataka kukopa fedha za Halmashauri unaambiwa ni za wanawake, vijana na walemavu. Kwa mujibu wa gender basi wanaume umri wa wazee hawaruhusiwi kukopa.

Mf.2 Unataka gari lako automatic lisajiriwe bolt na uendeshe mwenyewe lakini unakataliwa kwa sababu umekatwa mguu mmoja.
Mf.3 kuna fursa ya ajira kitengo fulani ila huwezi kuajiriwa kwa sababu we ni mfupi au mrefu sana au umechora tattoo.
Thanks so much for ur explanition
 
Ukijiona una feelings za hivyo jua wewe ni dhaifu.Kua mwanaume sio kitu rahisi kama utakua unawaza kulia nakuonyesha hisia zako dhaifu hadharani.Kama una hayo mawazo wewe haujakamikika kua mwanaume kamili.Mungu alimuumba wanaume awe imara kuanzia Misuli ya mwili hadi ubongo wenye uwezo wakucontrol hisia na kila kitu kinachomzunguka.
Ahow evidance
 
Back
Top Bottom