Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sex roles ndio gender?Gender imetengenezwa na mwanadamu kuwa mwanamke atakuwa nafanya kazi hizi na mwanaume hizi
Mfano secretary watu wanaamini ni kazi ya kike
Doctor watu wanaamini ni kazi ya mwanaume
Jambo ambalo halina ukweli ndani yake gender ni pana sana naweza kuilezea kwa gazet nzima kabisa siku au wiki nzima
W
Paroko Sasa apa huu mpango utakua haupo sawa. Umebanwa na nini mtumishiKi ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza
Gender human creates
Sawa nina hoja za kijinga.Ndio maana nasema huelewi kitu ndio maana una hoja za kijinga walio helewa soma comment za juu wameelewa nini na maanisha
Pole sanaMkuu nimepigwa na kitu kizito
Wanaume hawafi mapema kwa hizo sababu ulizosema hapo juu,wanaume wanakufa mapema kwasababu ndivyo walivyoumbwa kua risk taker tofauti na wanawake.Ata wanyama wa mwituni na wakufuga madume yanakua na harakati nyingi zinazohatarisha maisha yao zaidi tofauti na majike.Mambo mengine ni nature.Ukijiona unaona kua mwanaume kuna kasoro jua uko na shida inakunyemelea.Shida ndio hizi hapa elimika mzee acha upumbavu wakijinga ambao huna faida yoyote unaendekeza upumbavu kwavitu vya kijinga
Ushawai jiuliza kwanini wanaume wanakufa mapema na dunia kubaki na idadi kuwbwa ya wanawake?
Ukijiona una feelings za hivyo jua wewe ni dhaifu.Kua mwanaume sio kitu rahisi kama utakua unawaza kulia nakuonyesha hisia zako dhaifu hadharani.Kama una hayo mawazo wewe haujakamikika kua mwanaume kamili.Mungu alimuumba wanaume awe imara kuanzia Misuli ya mwili hadi ubongo wenye uwezo wakucontrol hisia na kila kitu kinachomzunguka.Umeenda mbali sana
Ipo hivi my fact kuna sio kwenye nguo ila nimechukulia mfano ili apate kunielewa kwa uwepesi
Kuna vitu katika jamii yetu leo mimi nikionekana na fanya lazima nitadharaulika
Mfano mimi nimeumizwa na kitu hasira imepanda sana lakini natamani kulia au kuongea na watu ili wajue yaliyo ni thibu ila jamii imenitengeneza mimi kuwa sipaswi kulia au nitakapo jaribu kushare na watu tatizo lile wapo watakalo liona ni dogo sana kwa mwanaume kwasababu jamii imemtengeneza mwanaume kutoweza kuonyesha feeling zake mbele za hadhara ndio maan tunarudiwa kutendewa makosa yale yale kila siku kwasababu wengine hawajui kama haya tunayotendewa yana tuumiza tofauti na mwanamke akichukia ata show kuwa amechukuia na mtu atakuwa chonjo kutofamfanyia lile tena kwasababu anatambua kuwa atakwazika hapo sijui umenielewa
Haya maelezo ulitakiwa kuyaweka kwenye maelezo ya awali usingeletewa matusi. Kiujumla wazo lako ni zuri ila halina nyama.Mkuu namchukia sana alie leta habari za gender leo mm mtoto wakiume naumizwa nashindwa kulia au kuongea kwa uwazi kisa tu mwanaume tume mezeshwa vitu vya kijinga that why tunakufa mapema kisa kuficha hisia
Kama age hiyo ujui kutofautisha kifua cha mwanaume na mwanamke rudi shuleKumbe wewe ni mwanamme?
Halafu unajiweka picha ya mdada na kifua wazi?
Nafikiri unamatatizo ya kisaikologia!
Tungeanzia hapo
Thanks so much for ur explanitionHaya maelezo ulitakiwa kuyaweka kwenye maelezo ya awali usingeletewa matusi. Kiujumla wazo lako ni zuri ila halina nyama.
Mf.1 Unataka kukopa fedha za Halmashauri unaambiwa ni za wanawake, vijana na walemavu. Kwa mujibu wa gender basi wanaume umri wa wazee hawaruhusiwi kukopa.
Mf.2 Unataka gari lako automatic lisajiriwe bolt na uendeshe mwenyewe lakini unakataliwa kwa sababu umekatwa mguu mmoja.
Mf.3 kuna fursa ya ajira kitengo fulani ila huwezi kuajiriwa kwa sababu we ni mfupi au mrefu sana au umechora tattoo.
Ahow evidanceUkijiona una feelings za hivyo jua wewe ni dhaifu.Kua mwanaume sio kitu rahisi kama utakua unawaza kulia nakuonyesha hisia zako dhaifu hadharani.Kama una hayo mawazo wewe haujakamikika kua mwanaume kamili.Mungu alimuumba wanaume awe imara kuanzia Misuli ya mwili hadi ubongo wenye uwezo wakucontrol hisia na kila kitu kinachomzunguka.
Paroko acha tuParoko Sasa apa huu mpango utakua haupo sawa. Umebanwa na nini mtumishi
gender imekuzuia nini?
Nipo kutazama tu ๐Paroko acha tu
Sex ni jinsiSex ni jinsia, ni kuwa mwanaume au mwanamke, Gender ni nini?
Sex ni jinsi
Gender ni jinsia
Km nipo sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndo hapaaa? WoiiiiihWe dogo nitafute nina shida na wewe [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna comments chache, ni uzi ulisuswa au kuna mafekechee yalifanyika??[emoji12]
Hii utandawazi ipo kasi zaidi๐๐๐Sex ni jinsi
Gender ni jinsia
Km nipo sahihi.