General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu.

Tunaomba General Mabeyo aombe radhi kwa watanzania kwa kitendo hiki.

Aidha, tunampongeza Hussein Mwinyi na tunamuunga mkono kwa urais mwaka 2025.
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).

Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.

Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).

Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.

Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).

Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.

Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.

Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.

Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025
Wewe ni nani hadi utuchagulie huyo unaye mtaka.
Inaonyesha wewe mwenyewe huna tofauti yoyote na huyo Jenerali wako.
 
Wewe ni nani hadi utuchagulie huyo unaye mtaka.
Inaonyesha wewe mwenyewe huna tofauti yoyote na huyo Jenerali wako.
Busara ingekuwa kusema unadhani nani anafaa na kwanini choice yangu sio sahihi.

Kuanza na mimi mleta mada whilst I am just airing my opinion, shows your focus was personal attack; rather the topic.
 
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi.

Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell a false narrative.
Ni wewe pekee unayejua jinsi akili yako inavyo fanya kazi; maana hata ikijipinga yenyewe kwake ni sawa tu.
Kwa nini Samia naye usimpe 'benefit of doubt' unayompa Magufuli?
 
Back
Top Bottom