General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Tanzania hakuna uchaguzi inamaana na hili hulijui yaani nimeshangaa na hili hulijui
Tanzania inauchaguzi
Kûna uchaguzi unaofanyika kîla Miaka mitano àmbao upo Kisheria

Lakini pia Wananchi wanauwezo wa kutofuata hizô Sheria wakachagua vinginevyo kimabavu

Hivyo kitendo cha kuacha mambo yalivyo inamaanisha wamechagua Hali ilivyo
 
Alipokuwa anaeleza kuhusu kifo cha JPM, machozi yalimtoka, alijitahidi sana mpaka katiba ikafuatwa, kuna waliotaka kuchukuwa uongozi bila kufuata katiba, "hongera baba Mabeyo kwa juhudi zako.
Hata wwe ukifa,kuna watu watataka kuchukua mirathi yako japokua siyo warithi wako! Ni tamaa za kibinaadamu tu pamoja na sheria na taratibu kuwepo lakini bado kuna mtu atataka akwepeshe kwa tamaa zake!!
 
Tanzania inauchaguzi
Kûna uchaguzi unaofanyika kîla Miaka mitano àmbao upo Kisheria

Lakini pia Wananchi wanauwezo wa kutofuata hizô Sheria wakachagua vinginevyo kimabavu

Hivyo kitendo cha kuacha mambo yalivyo inamaanisha wamechagua Hali ilivyo
We unapenda ligi za kitoto
Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuanzia 2020 na kuja mbele hakuwezi kuwa na uchaguzi wa huru na haki haihitaji phd kulijua hili
 
Hata wwe ukifa,kuna watu watataka kuchukua mirathi yako japokua siyo warithi wako! Ni tamaa za kibinaadamu tu pamoja na sheria na taratibu kuwepo lakini bado kuna mtu atataka akwepeshe kwa tamaa zake!!
anachoifanyia tanganyika ni sahihi? we vipi au wewe ni mzenji.. Mtanganyika hawezi kusema hivyo
 
Hapo ndo tunapofeli wa bongo. Tunategemea aje mabeyo au chadema kututetea. Ni kitendo cha kuamka siku moja na kutembea Road mpka bungeni watueleze kinachoendelea
 
Hapo ndo tunapofeli wa bongo. Tunategemea aje mabeyo au chadema kututetea. Ni kitendo cha kuamka siku moja na kutembea Road mpka bungeni watueleze kinachoendelea
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
Unamlaumu mabeyo bule ameepusha mengi katiba inasema akifa rais makam ndio atakae malizia muda wake alio uacha rais kama asinge fanya hivyo asaa ungetokea mfarakano mkubwa sana kwasababu kila mtu anatamani kukalia kile kiti asaa unafkli kingetokea kitu gani ?
 
Watanzania n wanafki kwa asili,mabeyo katimiza kiapo chake cha kuilinda katiba ya JMT yupo anakula baridi ya AC pale NCAA.
 
You guys are sensless, awaombe msamaha for what? Hakuwa na uwezo wa kubadili katiba na hata angefanya ingekuwa kinyume na katiba iliyopo na kiapo chake

Kama askari ametimiza kiapo chake and so do askari wengine wanapo apa wakati wa kujiunga na jeshi

Kazi ninya kwenu watanzania ambao hamna ummoja badala yake mnatafuta wa kumtupia lawama
 
Back
Top Bottom