Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Unaelewa maana ya Novena wewe?Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu.
Tunaomba General Mabeyo aombe radhi kwa watanzania kwa kitendo hiki.
Aidha, tunampongeza Hussein Mwinyi na tunamuunga mkono kwa urais mwaka 2025.