General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

angekanyaga katiba mngesema pia
Are we talking about Mwinyi in the context of having a cool head in the transition as I implied or you have other interpretations which the JF audience need to be on the same page with you.

Enlighten us please, so that we flow together in the discussion.

No ons is right or wrong in this discussion; as far as I am concerned. But we can learn from each other
 
Tunamtaka Makamba, kijana amekomaa Sana kisiasa. Ni mvumilivu, msikivu na mchapa kazi hodari.
I like him too

Kwangu namuona ana leadership qualities za kuongoza nchi.

Shida yake ni kwamba urafiki he pays more attention kwa marafiki zake on advice kuliko civil services.

Marafiki ambao kwenye kichwa chake anadhani wanauwezo kushinda civil servants, wakati mapoyoyo.

Otherwise he has a good ear (listening skills) na kuona kweli hii ni shida. Tatizo lake aelewi whose advise is sound.

Akijitenga na marafiki zake na kuanza kuamini civil services he can go places.

Mtu amwambie rafiki zake ni privileged tu, hawana huo uwezo.
 
Mabeyo alikuwa sahihi kabisa kutaka katiba ifuatwe. Kwenye nchi yenye demokrasia changa kama yetu, kuanza kujenga utamaduni wa kukandawija katiba, kwa makusudi tena waziwazi, ni hatari sana kwa ukuaji wa demokrasia yenyewe.
Kama katiba yetu ina walakini, basi tujenge hoja za kuifanyia mabadiliko ili kunapotokea jambo kama hilo la rais kufariki akiwa madarakani, basi katiba ituambie kufanya uchaguzi mwingine na kuchagua tunayemtaka.
 
Mabeyo alikuwa sahihi kabisa kutaka katiba ifutwe. Kwenye nchi yenye demokrasia changa kama yetu, kuanza kujenga utamaduni wa kukandawija katiba, kwa makusudi tena waziwazi, ni hatari sana kwa ukuaji wa demokrasia yenyewe.
Kama katiba yetu ina walakini, basi tujenge hoja za kuifanyia mabadiliko ili kunapotokea jambo kama hilo la rais kufariki akiwa madarakani, basi katiba ituambie kufanya uchaguzi mwingine na kuchagua tunayemtaka.
Personal nadhani agenda ya Magufuli ilikuwa reshaping social thinking.

Na hiyo kazi Ina-resistance kubwa; pamoja na kuwa walau asilimia fulani self reliance that includes expenditure savings, kulipa madeni, watu kulipa kodi na majukumu mengine ya serikali ambayo nchi nyingine ni kawaida watanzania hawajazoea.

Sasa hiyo kazi ni kuchukiwa people don’t like change. Nadhani ndio msingi wa watu wa kutaka kuzuia Samia asipewe uraisi kuna kazi ya kufanya.

Sasa nini kimetokea baada ya kupewa uraisi kila kitu kimę-revert back and worse. Pamoja na raisi Samia kuwapa hela kibao zaidi ya Magufuli kuendekeza yale yale Iła matokeo hafifu.

Sometimes common sense has to prevail

That’s just my opinion, doesn’t mean I am right.

Wenye experience ya kuongoza nchi kama Kenyatta pia walimsihi usitoke hiyo njia. wanaelewa ugumu wake na faida zake za muda mrefu
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025
Dogo unarudia kosa Lile lile kama la mabeyo
Unaeeka mbele utashi wako binafsi
Takwa letu kama taifa si watu ni mifumo

Mi nadhani hata huyu mama akibadilika akatuletea katiba mpya hatuna noma naye
 
Mabeyo alikuwa sahihi kabisa kutaka katiba ifuatwe. Kwenye nchi yenye demokrasia changa kama yetu, kuanza kujenga utamaduni wa kukandawija katiba, kwa makusudi tena waziwazi, ni hatari sana kwa ukuaji wa demokrasia yenyewe.
Kama katiba yetu ina walakini, basi tujenge hoja za kuifanyia mabadiliko ili kunapotokea jambo kama hilo la rais kufariki akiwa madarakani, basi katiba ituambie kufanya uchaguzi mwingine na kuchagua tunayemtaka.
Sasa hivi inakandamizwa zaidi. Imethibitishwa Kwa kuitwa Kijitabu
 
Dogo unarudia kosa Lile lile kama la mabeyo
Unaeeka mbele utashi wako binafsi
Takwa letu kama taifa si watu ni mifumo

Mi nadhani hata huyu mama akibadilika akatuletea katiba mpya hatuna noma naye
Mkubwa

Siasa ni science

Uongozi ni science

Kuongoza nchi inataka mixture ya siasa na uongozi.

Katiba itatoa tu mamlaka ya raisi (siasa) lakini aimpangii namna ya kuongoza. Isipokuwa lazima aheshimu mipaka yake ya katiba.

Sasa raisi anachagua kuongoza vipi inategemea na hali ya nchi na anataka ku achieve nini.

Magufuli alichagua autocratic leadership style kwa kuona kazi kubwa ya kuinyoosha nchi ni yake (kwa katiba ya Tanzania)

Jakaya Kikwete alitumia (Laissez-faire) leadership style kuwaachia majukumu mengi wasaidizi wake.

Samia Hassan kwa mtazamo wangu uongozi ni mixture ya (laissez-faire na consultative) ukiangalia uhuru anaowapa wasaidizi wake jumlisha 4R zake za kushirikisha vyama pinzanj. Sasa je hii ndio mbinu inayotufaa.

Raisi Samia ukiangalia leo na wewe kuwa (mkweli kiongozi) akosolewi kwa Mąkosa halisi (japo kafanya mengi) isipokuwa anasakamwa kwa ajali za kutengenezewa.

Shida ya Tanzania ni culture issues. Hapo nje ya malalamiko yq kwenye politics, civil services na business. Kwa sasa tunahitaji an autocratic leader mwenye agenda kupambana kwanza na mazoea (culture).

Vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na ama sheria na taratibu zetu?mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Ni Mabeyo ama sheria na taratibu zetu?
 
Gen Mabeyo alikuwa sahihi Kuwakumbusha watu Kuheshimu Katiba Big up kwake.Angalau kwenye taasisi zilizopo Huenda ni JWTZ Tu inaweza kuaminiwa Kwa Kuheshimu Katiba.Taasisi zingine nimechagua kwenda zigzag.Kama Jeshi lingekanyaga Katiba sijui tungekuwa wapi,hiyo safari ya kurejea kwenye katiba ingechukua Miaka mingi Sana.Shida yetu kubwa ni weak institutions,Ambazo zimetoka Kwa Katiba ya Chama Kimoja.Huwezi Kuendelea kama unakuwa na cycle za Uongozi bila continuation.Sema Mungu ni mwema akitoka Mzee Ruxa,anawaletea Chuma kama Mkapa,naye akitoka mnaletewa Ruxa 2,kisha Chuma alafu Ruxa3.Tutegemee Chuma tena.Huenda ndiyo cycle yetu.
 
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Umeongea ujinga wa hali ya juu kama himjui Yule baba bora ungekaa kimya.

Unaijua historia ya Magufuli kweli?
Inshort.
Akiwa mbunge sehemu walipochagua madiwani upinzani hakuwahi kupita wala kufika.. na hilo alikuwa akilisema wazi..

Alikuwa akiwapatia kesi wapinzani wake tangu akiwa anagombea ubunge.. mfano ni katwale

Mtu ambaye alikuwa hapendi kupingwa.

Amekuwa rais tuliona kodi zetu zikinununua wapinzani. Walioshupaza shingo tuliona walichokipata.

mtu kuwa muumini wa dini haiondoi tabia yake mbaya , huko kwenye ibaada wamejaa wachawi, wazinzi, wauaji, matapeli, n.k usipagawishwe na dini..
Hata magaidi yapo kwenye dini.

Tushukuru Mungu kwa yaliyotokea!
 
Hussein Mwinyi vs Dr Nchimbi
Nchimbi ni mafia

Ni mtu ambae awezi kumuonea mtu mnyonge kwa uelewa kamzidi power (kwa nafasi yake),

Niliwahi pewa story na mtu wa karibu yake kuna kiwanja maeneo fulani Tegeta kuna kutwanga anakitaka huyo mama mwenye kiwanja wameshindwana bei. Nchimbi anataka kumlalia mama kagoma miaka kadhaa.

Lakini Nchimbi anavyoomba kwa huyo mama aendi kama tunavyomjua mimi n wewe, Yeye (Nchimbi)” ndio anabembeleza kama vile raia wa kawaida. Hana uonevu kwa wanyonge kabisa na ikisahindikana anakubali laklni hana roho ya kupora wanyonge.

Sasa na yeye nae ana makando kanda yake na jasusi kwa wanaojifanya wajuaji utaki ugomvi nae, bila ya kujipanga yeyote huko serikalini.

Kwa uraisi lakini hatoshi, more of a reinforcer. Hapo halipo ndio kunamfaa kukinyoosha chama. Hakuna wa kumtisha ndani ya CCM.

Good Morning
 
Wewd ni mzee wa cheti feki ulitumbuliwa acha chuki na marehemu
Umeongea ujinga wa hali ya juu kama himjui Yule baba bora ungekaa kimya.

Unaijua historia ya Magufuli kweli?
Inshort.
Akiwa mbunge sehemu walipochagua madiwani upinzani hakuwahi kupita wala kufika.. na hilo alikuwa akilisema wazi..

Alikuwa akiwapatia kesi wapinzani wake tangu akiwa anagombea ubunge.. mfano ni katwale

Mtu ambaye alikuwa hapendi kupingwa.

Amekuwa rais tuliona kodi zetu zikinununua wapinzani. Walioshupaza shingo tuliona walichokipata.

mtu kuwa muumini wa dini haiondoi tabia yake mbaya , huko kwenye ibaada wamejaa wachawi, wazinzi, wauaji, matapeli, n.k usipagawishwe na dini..
Hata magaidi yapo kwenye dini.

Tushukuru Mungu kwa yaliyotokea!
Wewe ni mzee wa cheti feki ulitumbuliwa acha chuki
 
Back
Top Bottom