KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
sampleWatanzania wako milioni 60, wanaojadili katika hii mada pamoja na wewe hawafiki hata watu ishirini(20).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sampleWatanzania wako milioni 60, wanaojadili katika hii mada pamoja na wewe hawafiki hata watu ishirini(20).
Majaliwa kaathiriwa na magnetic induction ya chura kizuwi!Tunamtaka Majaliwa.
Unaokoteza maoni ya watu yaliyoandikwa tayari unayarudia na kujiona unajua. Kwahiyo Lissu amekuwa sio threat tena kwa national security? Vipi ulitaka Gen Mabeyo afanye nini?Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance at the time of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka acha aelewi somo (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Duuuu ulivyoanza nilijua una hoja kweli kweli damtUmeongea ujinga wa hali ya juu kama himjui Yule baba bora ungekaa kimya.
Unaijua historia ya Magufuli kweli?
Inshort.
Akiwa mbunge sehemu walipochagua madiwani upinzani hakuwahi kupita wala kufika.. na hilo alikuwa akilisema wazi..
Alikuwa akiwapatia kesi wapinzani wake tangu akiwa anagombea ubunge.. mfano ni katwale
Mtu ambaye alikuwa hapendi kupingwa.
Amekuwa rais tuliona kodi zetu zikinununua wapinzani. Walioshupaza shingo tuliona walichokipata.
mtu kuwa muumini wa dini haiondoi tabia yake mbaya , huko kwenye ibaada wamejaa wachawi, wazinzi, wauaji, matapeli, n.k usipagawishwe na dini..
Hata magaidi yapo kwenye dini.
Tushukuru Mungu kwa yaliyotokea!
Natamani uendelee kuandikaMnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Mabeyo yuko wapi now? Bado anawezaHuyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.
General Mabeyo atuombe radhi watanzania.
Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Hamna kitu hapoTunamtaka Majaliwa.
Huyu majaliwa kwenye ofisi yake unaambiwa kumejaa utitiri wa viongozi waandamizi yote hiyo ni kudhibiti nguvu yake asionekaneMajaliwa kaathiriwa na magnetic induction ya chura kizuwi!
Kageuka kucheza beat za mziki asioufahamu na anaonekana dhahiri hajui kucheza, ni heri akakaa pembeni akapumzika.
Kwenye awamu ya5 alibeba sifa zote anazostahili kuwa nazo Waziri mkuu, lakini sasa kajigeuza kawa chawa!
Madhila yanayolikumba taifa kwa sasa ni mengi, lakini yeye kimya kabisa kama vile hayupo!
Utamsikia... 'Mama (kwa kutaja wadhifa na jina)katoa pesa kujengea mradi huu'... Wakati akielewa fika kwamba pesa zinazoongelewa ni pesa za Serikali na siyo za fungu la ofisi ya Rais.
Majaliwa wa Magufuli na Majaliwa wa Samia ni mtu na mdogo wake ama huyu wa sasa ni 'crone' ya Waziri mkuu wa awamu ya 5, ambapo huyu ni mwingine kabisa na hafai.
I can't buy this bullshit on praise of Magufuli and despise to Tundu Lissu. Mkemia Magufuli hakujua lolote kuhusu sheria za mikataba ndiyo maana mpaka sasa hivi tuna kesi 3 tunalipa fidia kwa mabilioni ya shillingi kutokana na umbumbumbu wa MagufuliMnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Ulitaka nisifie ujinga..Duuuu ulivyoanza nilijua una hoja kweli kweli damt
niwe na chuki kwa muuaji?Wewd ni mzee wa cheti feki ulitumbuliwa acha chuki na marehemu
Wewe ni mzee wa cheti feki ulitumbuliwa acha chuki
Kiongozi hii si mada ya ujuaji ni mjadala tu.Unaokoteza maoni ya watu yaliyoandikwa tayari unayarudia na kujiona unajua. Kwahiyo Lissu amekuwa sio threat tena kwa national security? Vipi ulitaka Gen Mabeyo afanye nini?
Ilinishangaza sana walivyofanya twisting ya maneno eti mikutano ya siasa imezuiliwa.kweli kuna watu wana roho chafu sana hapa Tanzania.Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
hawa hawa wanaodai katiba mpya, na wanaotia nguvu katiba ifuatwe, sasa wanasema Mobeyo angepindua meza, stupidkwahiyo mlitaka katiba ikanyagwe
Hawezi omba msamaha kwa kutekeleza majukumu yake. Yako kwenye kiapo na ni core function ya jeshi kikatiba. Which also kiko kwneye kiapo cha askari yoyote nchi hii (Kuilinda katiba ya jmt)Huyu mabeyo ata Mimi nilimshangaa saana ile kamati ilikuwa sahihi kupindua meza ata yeye mwenyewe bora angekaa kwa kipindi cha mpito zen tungefanya uchaguzi atuombe radhi alibugi saana.
Mikutano ya siasa aikuwa zuia bure bure.Ilinishangaza sana walivyoganya twisting ya maneno eti mikutano ya siasa imezuiliwa.kweli kuna watu wana roho chafu sana hapa Tanzania.
Alifanya makosa makubwa lakini CCM ndiyo tatizo. Wewe unaweka makamu wa rais ambaye ndiye anakuwa rais automatically iwapo rais ameshindwa kuongoza awe mtu kama Samia ukitegemea nini?Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.