Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaAlifanya makosa makubwa lakini CCM ndiyo tatizo. Wewe unaweka makamu wa rais ambaye ndiye anakuwa rais automatically iwapo rais ameshindwa kuongoza awe mtu kama Samia ukitegemea nini?
Suala la kusema mambo ya mikataba ndio yaliyofanya Lissu apigwe risasi una uhakika au ni mawazo yako tu? Lissu alipomuita Magufuli Dikteta uchwara ilikuwa sababu ya mikataba? Kama ni mfuatiliaji huru wa siasa utagundua kuwa Magufuli hakuupenda upinzani na uhasama wake na upinzani ulianza alipozuia mikutano ya ndani na nje ya kisiasa ndipo akaanza kuvutana na wana-CDM hivyo tatizo halikuwa ni mikataba bali ni chuki ya Magufuli ya jumla kwa upinzani. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulithibitisha chuki yake akahodhi uchaguzi na kujipa ushindi yeye na chama chake. Nape na hata mkuu wa wilaya ya Ngorongoro walithibitisha kuwa ule haukuwa uchaguzi.Kiongozi hii si mada ya ujuaji ni mjadala tu.
Hakuna anaejua zaidi ya mwingine, ni kupeana ufahamu tu humu. Kila mtu anajifunza kutoka kwa mwenzake.
Uhalisia ni kwamba uwezi shitakiwa MiGA. Kwa sababu mikataba ya host government agrement na kampuni yoyote when it comes to dispute resolution; either inakuwa covered kwenye BIT.
Kama nchi hazina makubaliano ya BIT basi dispute resolution itawekwa kwenye stabilisation clause ya HGA.
Hakuna mzungu ataingia mkataba wa biashara hasa nchi za third world bila ya kulindwa na BIT au kuweka stabilisation clause ya dispute resolution.
Ndio maana kila tunaposhitakiwa utasikia wawekezaji wanasema wanatumia BIT.
Sasa yeye wakati wenzake wanafanya yao kakadhana kuwakatisha tamaa. Akiambiwa acha hataki kuelewa.
Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Another Mzanzibari can't stabilize Tanganyika, it's enough let's see a Tanganyika in place 2025 to rescue the Tanganyika resources from foreign invasion.Anaehitajika kwa sasa sio mtu mwenye milpango. Iła uwezo wa ku-stabilise nchi wakati wahusika wana andaa mtu wa kuongoza nchi 2030.
Transition period inahitaji cool head and Mwinyi has it.
Huu ni mjadala usiokuwa na heshima. Lazima tuwe na mipaka ya uhuru wa maoni. 🙏🙏🙏Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.
General Mabeyo atuombe radhi watanzania.
Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Basi tuhitimishe tunapishana kwenye tafsiri ya matukio yaliyopelekea Lissu kushambuliwa.’Suala la kusema mambo ya mikataba ndio yaliyofanya Lissu apigwe risasi una uhakika au ni mawazo yako tu? Lissu alipomuita Magufuli Dikteta uchwara ilikuwa sababu ya mikataba? Kama ni mfuatiliaji huru wa siasa utagundua kuwa Magufuli hakuupenda upinzani na uhasama wake na upinzani ulianza alipozuia mikutano ya ndani na nje ya upinzani ndipo akaanza kuvutana na wana-CDM hivyo tatizo halikuwa ni mikataba bali ni chuki ya Magufuli ya jumla kwa upinzani. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulithibitisha chuki yake akahodhi uchaguzi na kujipa ushindi yeye na chama chake. Nape na hata mkuu wa wilaya ya Ngorongoro walithibitisha kuwa ule haukuwa uchaguzi.
Uhuru wa mipaka ni kutotoleana maneno ya matusi tu sisi wenyewe na viongozi tunaowajadilli.Huu ni mjadala usiokuwa na heshima. Lazima tuwe na mipaka ya uhuru wa maoni. 🙏🙏🙏
I subscribe to that, but where is the steady hand from mainland politicians. A majority of them if not all have demonstrated what they are about (self serving first).Another Mzanzibari can't stabilize Tanganyika, it's enough let's see a Tanganyika in place 2025 to rescue the Tanganyika resources from foreign invasion.
I agreeKutaka kuhalalisha utekaji ni ujinga uliopitiliza.
Ukweli mchungu watekaji, watesaji na wauwaji wote ni waovu kuliko shweitwani mwenyewe!
Ok kwenye hoja yako kuhusu Gen Mabeyo nini ulitaka afanye ambayo yangenusuru hayo unayoona hayakutakiwa kutokea?Basi tuhitimishe tunapishana kwenye tafsiri ya matukio yaliyopelekea Lissu kushambuliwa.’
Iła hakuna ushahidi wa Magufuli kutoa kibali cha hit (yes ni ngumu) kutetea hii jukwaani. Lakini mahakamani hakuna legal evidence to back the claims.
Mshamba tu!Alitii kiapo cha kulinda Katiba.
Chuki dhidi ya upinzani, hofu ya mawazo mapya, mahaba juu ya kichaa na kiu ya damu za watu katika ubora wake!!!Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).
Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.
Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).
Lissu was a nuisance in the midst of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.
Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).
Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.
Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.
Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.
Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Angezingatia risk sssement ya ability ya mtu anaetaka kupewa nchi na mamlaka atakayokuwa nayo if she worth it kwa mustakabali wa taifa.Ok kwenye hoja yako kuhusu Gen Mabeyo nini ulitaka afanye ambayo yangenusuru hayo unayoona hayakutakiwa kutokea?
This is a civil discussionChuki dhidi ya upinzani, hofu ya mawazo mapya, mahaba juu ya kichaa na kiu ya damu za watu katika ubora wake!!!
WanaJF, hatuhitaji kutafuta wasiojulikana mbali, wanajidhihirisha wenyewe!!!
Mkuu ndege wafananao huruka pamoja!!!Umeongea ujinga wa hali ya juu kama himjui Yule baba bora ungekaa kimya.
Unaijua historia ya Magufuli kweli?
Inshort.
Akiwa mbunge sehemu walipochagua madiwani upinzani hakuwahi kupita wala kufika.. na hilo alikuwa akilisema wazi..
Alikuwa akiwapatia kesi wapinzani wake tangu akiwa anagombea ubunge.. mfano ni katwale
Mtu ambaye alikuwa hapendi kupingwa.
Amekuwa rais tuliona kodi zetu zikinununua wapinzani. Walioshupaza shingo tuliona walichokipata.
mtu kuwa muumini wa dini haiondoi tabia yake mbaya , huko kwenye ibaada wamejaa wachawi, wazinzi, wauaji, matapeli, n.k usipagawishwe na dini..
Hata magaidi yapo kwenye dini.
Tushukuru Mungu kwa yaliyotokea!
Umeongea ujinga wa hali ya juu kama himjui Yule baba bora ungekaa kimya.
Unaijua historia ya Magufuli kweli?
Inshort.
Akiwa mbunge sehemu walipochagua madiwani upinzani hakuwahi kupita wala kufika.. na hilo alikuwa akilisema wazi..
Alikuwa akiwapatia kesi wapinzani wake tangu akiwa anagombea ubunge.. mfano ni katwale
Mtu ambaye alikuwa hapendi kupingwa.
Amekuwa rais tuliona kodi zetu zikinununua wapinzani. Walioshupaza shingo tuliona walichokipata.
mtu kuwa muumini wa dini haiondoi tabia yake mbaya , huko kwenye ibaada wamejaa wachawi, wazinzi, wauaji, matapeli, n.k usipagawishwe na dini..
Hata magaidi yapo kwenye dini.
Tushukuru Mungu kwa yaliyotokea!
Mlikuwa mnataka kwenda wapi? Kawakosea nyie washenzi na sio wote.Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.
General Mabeyo atuombe radhi watanzania.
Hussein Mwinyi for presidency 2025.