General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025

Ulitaka katiba ivunjwe kwa maslahi ya watu binafsi?

Wenye kutaka madaraka watumie njia sahihi kufanya hivyo...

Kinachoongoza nchi ni CCM na sio Mama Samia...

Hata awepo nani madarakani, bado madudu ya CCM yataonekana tu...
 
Nchimbi ni mafia

Ni mtu ambae awezi kumuonea mtu mnyonge kwa uelewa kamzidi power (kwa nafasi yake),

Niliwahi pewa story na mtu wa karibu yake kuna kiwanja maeneo fulani Tegeta kuna kutwanga anakitaka huyo mama mwenye kiwanja wameshindwana bei. Nchimbi anataka kumlalia mama kagoma miaka kadhaa.

Lakini Nchimbi anavyoomba kwa huyo mama aendi kama tunavyomjua mimi n wewe, Yeye (Nchimbi)” ndio anabembeleza kama vile raia wa kawaida. Hana uonevu kwa wanyonge kabisa na ikisahindikana anakubali laklni hana roho ya kupora wanyonge.

Sasa na yeye nae ana makando kanda yake na jasusi kwa wanaojifanya wajuaji utaki ugomvi nae, bila ya kujipanga yeyote huko serikalini.

Kwa uraisi lakini hatoshi, more of a reinforcer. Hapo halipo ndio kunamfaa kukinyoosha chama. Hakuna wa kumtisha ndani ya CCM.

Good Morning
Basi twende na Hussein Mwinyi 2025...Saa 100 imetosha....atupishe hana jipya
 
Are we talking about Mwinyi in the context of having a cool head in the transition as I implied or you have other interpretations which the JF audience need to be on the same page with you.

Enlighten us please, so that we flow together in the discussion.

No ons is right or wrong in this discussion; as far as I am concerned. But we can learn from each other
mpo wrong kwasababu hamjui mnachokitaka katiba ikisiginwa mnasema na mtu akifata katiba mnasema pia so huu ni undumbila kiwili hamjui wrong na right.. na watu wa hivi watoto wenu ndo wanategemea mchague viongozi
 
Mnamuonea tu mtangulizi wa Samia (Magufuli).

Usalama wa taifa kwenye kutia adabu wapuuzi (tena ukivuka mipaka) kama Dr Ulimboka au Kubenea wanaweza kukuacha na kiłema tu; lakini sio kuuwa.

Hadi ushugulikiwe inabidi uwe tatizo kweli kweli kama Dr Mvungi au Lissu tena kwa kuonywa acha hiyo issue ni ya national security (utaki kuelewa somo), popote duniani utashughulikiwa kama uelewi somo (achana na upuuzi wa utetezi wa CDM).

Lissu was a nuisance at the time of contract renegotiations kama umesoma mambo ya mikataba ya natural resources renegotiation ukistuka sio jambo jepesi. Yeye Kila akionywa acha aelewi somo anaropoka acha aelewi somo (let’s be clear Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba) ni maCDM tu ya JF yanaamini anajuwa. Ila Lissu hana uelewa wa FDI contracts that’s finance.

Mtu pekee ambae kitendawili kupotea kwake zama za Magufuli ni Ben Saanae (nadhani ile ilikuwa ajali kazini kwa upande wa usalama).

Mengine ni story tu (yes Magufuli alisumbua watu) including Maxence Melo kabla hajauzoea uraisi akiwa mshamba wa kudhani anaweza zuia habari mbaya.

Lakini sehemu kubwa ya lawama anazopewa ni uzushi tu.

Kilichotokea kipindi chake kuna watu waovu ambao wenye uwezo wa propaganda (it doesn’t take much) to sway the political audience with the help of CDM constant attack to sell the false narrative.

Magufuli hakuwa mtu mmbaya, kwanza alikuwa ni mwamini wa mungu hata kuweka sign za watu wa kunyongwa alikuwa anaogopa.
Huna akili.
 
Kikwete na General Mwamunyange

Magufuli na General Mabeyo

Socket shell na General J Nkunda
 
Ulitaka katiba ivunjwe kwa maslahi ya watu binafsi?

Wenye kutaka madaraka watumie njia sahihi kufanya hivyo...

Kinachoongoza nchi ni CCM na sio Mama Samia...

Hata awepo nani madarakani, bado madudu ya CCM yataonekana tu...
Whose right or wrong doesn’t matter

Somo ni either:
Kubadili katiba hii situation isijirudie, kuweka makamu imara au kuhakikisha tuna strong senior service ya kuongoza nchi hata raisi nani.
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025
Katiba ilifuatwa, Acha kutumia tumbo kufikiri..
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania.

Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Ret gen mabeyo hawez kuja kuwaomba msanaha sababu alikuwa anatekeleza majukumu ambayo yako kwenye kiapo cha askari wa tpdf na ni moja ya core function ya tpdf .Kuilinda katiba ya jmt.

Whatever matokeo yaliyotokana na hayo that not his job. He was doing his job

Asingefanya hivyo pia mnge mnanga kwa uhahini na kutokuwa mzalendo. Which ingekuwa doa kubwa kwake
 
Ret gen mabeyo hawez kuja kuwaomba msanaha sababu alikuwa anatekeleza majukumu ambayo yako kwenye kiapo cha askari wa tpdf na ni moja ya core function ya tpdf .Kuilinda katiba ya jmt.

Whatever matokeo yaliyotokana na hayo that not his job. He was doing his job

Asingefanya hivyo pia mnge mnanga kwa uhahini na kutokuwa mzalendo. Which ingekuwa doa kubwa kwake
I agree.

Halikadhalika kwa nafasi yake sidhani kama unaweza fika juu hivyo bila ya uelewa wa risk assessment za taifa na kuchukua maamuzi sahihi.

Kilichotokea kimetokea, muhimu ni kujifunza makosa kutojirudia.
 
Back
Top Bottom