General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Mhutu hana ubaguzi. Nimewahi kuambiwa wazi wazi na mtusi,, huyu sio ndugu yetu, ila akamsifia dada mmoja tulikuwa naye kuwa ndiye mtusi, ana sura ya kitusi japo sio mtusi.
 
Nchi haiwezi kujifunza kutoka kwenye mkoa,..vita sio unadhifu wa mavazi ,usitishwe na gunboat diplomacy za mkoa ule, na kule congo dr wanakofanya fujo ni collapse state nchi haina mwenyewe, nchi haina jeshi
Kongo ni wapuuzi mno mno yani huyo takataka pk ndo wakuwapepeta li nchi likubwa 10× Rwanda
 
Undugu gani huo wa kuteka nchi na kuuwa. Uganda, Mtusi, Rwanda Mtusi, Congo mmeingia.
Mbona nikimsapoti Tundu Lissu hamsemi mimi ni "Mnyaturu"?!

Kweni humu JF mtu ukitoq opinion yako kwenye jambo lolote bila ya kuburzwa na other members unashutumiwa.

Acheni primitive mindset.
 
Mhutu hana ubaguzi. Nimewahi kuambiwa wazi wazi na mtusi,, huyu sio ndugu yetu, ila akamsifia dada mmoja tulikuwa naye kuwa ndiye mtusi, ana sura ya kitusi japo sio mtusi.
Nani alieanza kufanya Genocide dhidi ya mwenzake?!

Huyo ndiye mwenye chuki.
 
Sijawahi kuwapenda hii jamii ya watutsi kwa mienendo yao!

Halafu mpaka hapa Tz maeneo yao wanawabagua wenyeji, wao wanajiona bora.

Hawa ni kuwafukuza wote wakajazane huko Rwanda.

Nchi sijui ndogo hayo ni matatizo ya kwao watajua wenyewe.
Nilisoma na kenge mmoja A level baba yake Msukuma, mama yake Mtutsi. Huyo bwege hata kilugha cha mama yake hajui ila anajiita Mtutsi. Rwanda huwa anaenda likizo ila anajiita Mnyarwanda wakati baba yake Msukuma ana jina gumu.

Nikaja chuo nikasoma na Mtutsi wa Ngara, kazaliwa Tanzania na baba yake yupo hai ana makazi Ngara uko na mama yake sijui jamii gani. Huyo jamaa kila kitu ni Rwanda, Rwanda, Rwanda.

Ni watu wapumbavu ningekuwa na uwezo ningefukuza takataza zote hizi nchini. Huwezi sikia mtu kazaliwa Tz na baba Mmalawi alafu huyo mtu anajiita Mmalawi, wanajeshi wa Tanzania wakifa anafurahi.
 
Nani alieanza kufanya Genocide dhidi ya mwenzake?!

Huyo ndiye mwenye chuki.
Inaonekana hujui HISTORIA. Kagame kwa kusaidiwa na Uganda alianzisha vita kuivamia Rwanda ya Habyarimana . Maraisi wawili wa Burundi na Rwanda walipokuwa wanatoka Tanzania, vikosi vya Kagame wakaitungua ndege na kuwauwa Maraisi wote wawili. Ndipo genocide ikapamba moto kuwauwa watutsi kwa malipizi.
 
Usifikiri utatuondoa kwenye reli. Unafiki hatuna akili wala macho kuona? Wewe utakua bila shaka mhima mnajifanya mna akili sana kuliko wengine. Ona jinsi museveni anavyotaka kumrirhisha mwanae mhima urais uganda japo mtu mwenyewe chizi. Ona jinsi jeshi la rwanda wote wahima ili kuhakikisha dola inashikwa na watutsi tu. Angalia jinsi kagame na watawala wa kitutsi wanavyoitishia burundi huku hakuna sababu ya maana. Kisa wabantu 'wahutu' wameweza kujitawala baada ya mapigano kujitoa kwenye mskucha ya watutsi wachache.
 
Mbona nikimsapoti Tundu Lissu hamsemi mimi ni "Mnyaturu"?!

Kweni humu JF mtu ukitoq opinion yako kwenye jambo lolote bila ya kuburzwa na other members unashutumiwa.

Acheni primitive mindset.
Hata kama naweza kuwa siipendi CCM sithubutu kushangilia nchi yangu kuvamiwa na adui yeyote wa nje. Nimezaliwa, nimesomea nimezeekea Tanzania. Vyama baadae Tanzania kwanza. Wewe unafurahiaje wanajeshi wetu kuuwa na Kagame ? Ingepaswa usakwe urudishwe Rwanda.
 
PK kila siku anaitamani Tz mpaka kufikia hatua ya kusema akipewa BANDARI MOJA TU ATAWAACHA MBALI KIUCHUMI NYIE HAMUOGOPI😂😂😂.JIRANI AMETUSOMA SISI NI MAZOMBIE NA TUMELALA HATUJIELEWI!!!

Acheni propaganda ni muda sasa wa kufanya mambo Makubwa.
 
Ili tuwe salama zaidi, ni lazima baadhi ya nchi - tuzi disable- au zipunguzwe makali, hata US hufanya hivyo!, kwa mtu hatarishi but how?.
 
Basi kama unaona UVCCM Hawa deserve hizo nàfasi tutashauri wawe replaced na BAVICHA. Hapo vipi utakua umefurahi?
 
Wewe unafurahiaje wanajeshi wetu kuuwa na Kagame ?
Bi Kizimkazi kawatuma wakapigane na sio kulinda AMANI na wamejikuta wakipigana bega kwa bega na FDLR na FDLR wanataka kurudi Rwanda kumalizia kazi walioianza 1994 sasa katika mapigano kuna kufa na kupona je "NIMEFURAHIA" wapi?! kama kuna Comment yeyote ya mimi Imhotep kufurahia iweke hapa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…