komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Ujinga wa uvccm na bavicha ndio utakaoingamiza nchi. Sijui Kiongozi hani atakayeijenga tena Tanzania kama ya Nyerere kila mtu kujiona mzalendo na fahari ya nchi bila ubaguzi wa kivyama.Basi kama unaona UVCCM Hawa deserve hizo nàfasi tutashauri wawe replaced na BAVICHA. Hapo vipi utakua umefurahi?