General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Basi kama unaona UVCCM Hawa deserve hizo nàfasi tutashauri wawe replaced na BAVICHA. Hapo vipi utakua umefurahi?
Ujinga wa uvccm na bavicha ndio utakaoingamiza nchi. Sijui Kiongozi hani atakayeijenga tena Tanzania kama ya Nyerere kila mtu kujiona mzalendo na fahari ya nchi bila ubaguzi wa kivyama.
 
We inajulikana unaumwa, na usipotibiwa siku si nyingi hatutakuwa na wewe. Siasa si chuki, CCM haitatolewa hivyo ni kwa mikakati na akili
 
Usikatae, hata hii comment yako inaonyesha furaha,, eti wanawasaidia FDLR kuivamia Rwanda. Kwani wewe kama ni Mtanganyika kama mimi Rwanda inakuuma nini kama sio mtusi.
 
Usikatae, hata hii comment yako inaonyesha furaha,, eti wanawasaidia FDLR kuivamia Rwanda. Kwani wewe kama ni Mtanganyika kama mimi Rwanda inakuuma nini kama sio mtusi.
Mimi ni Pan Africanist sipendi kuona Jamii yoyote ya Kiafrika inaonewa Afrika kwasasa inatakiwa New Thinking.
 
Acheni hizo narrative, after 20 years zitakuwa zimeiva na mkazifanyia kazi.. hakuna mchaga anayechukiwa labda leta uthibitisho
Chuki za Kiafrika sote tunazijua,hata Wachaga wanachukiwa hapa Tanzania wacha nikiambie kitu angalia Jamii zote zenye kujielewa zinachukiwa sana na jamii ambzo hazijielewi.
 
Acheni hizo narrative, after 20 years zitakuwa zimeiva na mkazifanyia kazi.. hakuna mchaga anayechukiwa labda leta uthibitisho
Hujawahi kusikia kuwa Wachaga wanataka Utawala mara Wachaga ni Wapinzani wa Serikali sote tunayajua labda kama huishi Bongo.
 
Hujawahi kusikia kuwa Wachaga wanataka Utawala mara Wachaga ni Wapinzani wa Serikali sote tunayajua labda kama huishi Bongo.
Hizo ni siasa zetu, hata leo/jana wasanii wamemsema Heche kiasi kwamba utasema ni ubaguzi. Sie ni waswahili mambo yetu tunajua namna ya kuyapima. Kwa hiyo msemaji wa Simba ana chuki na msemaji wa Yanga? Unajua utani wa makabila Tanzania?
 
Hakuna utofauti ma CCM inavyofanya hapa Tanzania
 
Uamekuwa hayo tena ?!😆😆😁
Tunajua kinachoendelea duniani kwa sasa. Kuanzia Ethiopia mpaka South Africa, Nigeria Sahara ya Magharibi Mauritania etc... na si unajua watanzania ni wambea sana wanaweza kukujua kuliko unavyojijua.
 
Tanzania jeshi ilikuwa ni ile iliyokuwa ikiitwa TPDF lakini sio hii JWTZ ambayo ccm wameiharibu na siasa za kijinga ambapo na wenyewe wanajisahau kwamba jukumu lao kuu ni kulinda nchi na wala sio kulinda ccm na viongozi wake.

Enzi zile TPDF ilikuwa ni jeshi lilikuwa na maaskari wazalendo na ndio maana lilikuwa ni tishio katika Afrika tofauti na sasa hivi ambapo hata sare tu nzuri za kisasa hawana ukiachilia mbali silaha za kisasa.
 
Tz imesadia Uganda na Rwanda kuwa hapo walipo alete mdomo tuwanyooshee
uimara wa majeshi ya Uganda na Rwanda ni walipofauĺu kuiba raslimali za DRC na kutumia kununua silaha za kisasa kwa malengo ya muda mrefu. SWOT tuitumie kujitathmini TZ
 
Hizo ni siasa zetu, hata leo/jana wasanii wamemsema Heche kiasi kwamba utasema ni ubaguzi. Sie ni waswahili mambo yetu tunajua namna ya kuyapima. Kwa hiyo msemaji wa Simba ana chuki na msemaji wa Yanga? Unajua utani wa makabila Tanzania?
Chuki za Kikabila hazifai kwenye zama hizi.
 
Tz imesadia Uganda na Rwanda kuwa hapo walipo alete mdomo tuwanyooshee
Hiyo Tanzania iliyosaidia Uganda na Rwanda unadhani ndio hii ya sasa ya akina mwijaku?. Tukiji changanya safari hii tutapigwa sana na hatutoboi.
 
Huwezi kutafiti kwenye jeshi lililojaa raia wa Rwanda na Burundi!
Ahahahahaha! Endelea kulala ila ukumbuke kuamka kukojoa maana hakuna kitu kibaya kwa baba wa familia kujoa kitandani! Ahahahahaha!!
 
Nchi haiwezi kujifunza kutoka kwenye mkoa,..vita sio unadhifu wa mavazi ,usitishwe na gunboat diplomacy za mkoa ule, na kule congo dr wanakofanya fujo ni collapse state nchi haina mwenyewe, nchi haina jeshi
Imagine juzi walikuwa wanachangishana fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…