pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Bure kabisa.Mi nimeuliza , na nimejibiwa; kuuliza si kosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bure kabisa.Mi nimeuliza , na nimejibiwa; kuuliza si kosa.
Matairi hayajawahi kuwa bure.Bure kabisa.
Usisahau Urafiki, yamegeuka magodown ya bidhaa za China na India tuHuu uzi unatakiwa kurudishwa hewani mara kwa mara. Na Katiba mpya itakapopatikana haya mambo lazima yafanyiwe uchunguzi wa kina kuhakikisha waliohusika na huu uhujumu uchumi wanachukuliwa hatua na kwamba hatua za kitaalam zinakuchukuliwa ili mambo kama haya yasiruhusiwe na yasifanyike tena. Kuna viwanda vingi vilivyoyeyuka bila kufahamika sababu. Mangula, Ubungo Farm Implements, NEDCO, MECCO, Kibo Match, General Tyre, Sungura Textiles, Moshi Machine Tools nk. nk. Haileweki ni kwa nini au vipi viwanda na biashara hizi zilikufa kimoja baada ya kingine lakini viongozi wakaangalia tu na kubariki balaa kama hiyo.
Bila kusahsu Zzk mbeyaHuu uzi unatakiwa kurudishwa hewani mara kwa mara. Na Katiba mpya itakapopatikana haya mambo lazima yafanyiwe uchunguzi wa kina kuhakikisha waliohusika na huu uhujumu uchumi wanachukuliwa hatua na kwamba hatua za kitaalam zinakuchukuliwa ili mambo kama haya yasiruhusiwe na yasifanyike tena. Kuna viwanda vingi vilivyoyeyuka bila kufahamika sababu. Mangula, Ubungo Farm Implements, NEDCO, MECCO, Kibo Match, General Tyre, Sungura Textiles, Moshi Machine Tools nk. nk. Haileweki ni kwa nini au vipi viwanda na biashara hizi zilikufa kimoja baada ya kingine lakini viongozi wakaangalia tu na kubariki balaa kama hiyo.
Nadhani Tanganyika Packers pia itakuwa mojawapo.Bila kusahsu Zzk mbeya
Ova