General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

Yani unaambiwaje Tanzania hamna tena kiwanda! unachoongelea wew kilisha kufa mda sana!


Hapana mkuu .vipo vingi tu kamaa vya pombeeee., vya maji a.k.a .vimiminikaaa naaaa vya magyodorooo.! Mbona vingi tu ujue mwanzo wa hesabu ni moja ivooh.!
Maana yake hapo ni tunywe., tule kisha tuendelee kulala huu uthingidhi mwitu wetu.,
Haya na mwingine aseme....!

CCM OYEEEH......!
 


Ulitaka wanyamaze kisa wamesomeshwa.?! Anayetaka wanyamaze kesha bemendwa huyo.halafu humu kuna wengine ni malimbukeni na hawajielewi khasa.! Wanajikomba mpaka hurumaaaa.! Ulimbukeni mbaya jamani.! Sijui ni shida au utapi tapi wa nafsi.?!
 
Ulitaka wanyamaze kisa wamesomeshwa.?! Anayetaka wanyamaze kesha bemendwa huyo.halafu humu kuna wengine ni malimbukeni na hawajielewi khasa.! Wanajikomba mpaka hurumaaaa.! Ulimbukeni mbaya jamani.! Sijui ni shida au utapi tapi wa nafsi.?!

Viwanda vyote na mashirika ya umma yote waliuwa hao "waliosomeshwa" kwa upendeleo.

Leo wanajifanya hawajuwi kuwa wao ndiyo waliuwa hivyo viwanda kwa kuiba, uzembe, ubadhirifu, kutokuwajibika, kutokukujuwa kazi, ndugunaizesheni, uvivu, ulevi, rushwa, kukosa nidhamu makazini, fitina, majungu na uozo wa kila aina.
 
... natapa tabu sana nikikumbuka uko nyuma, alafu kuna kawimbo flani kalikuwa kanaimbwa kila mara kipindi cha General Tyre kikiwa hewani kupitia RTD.

Naimba nafsini mwangu imefikia hata kusema kwa nini nimefungua post hii!.
 
Baada ya hapo ulitaka nifanye nini serekali ina share 76% inapata kodi,ina uhakika wa ajira kwa wananchi wake haikuchukua hatua mimi mtanzania wa kawaida ulitaka nifanye nini zaidi ya hapo.Sana sana niliwachukia ndio maana kura yangu sikuwapigia tena hapo ndio uwezo wangu ulipoishia.Tena kumbuka serekali yako ya CCM imeleta sheria ya mitando kwania ya kuwalinda wezi wa aina hii.

 
Haaa haaa aliuza formula ya 7.50 - 16 HCT YANA ni Kipingu swala tano aliyesimamia zoezi na kufanya safari za kwenda Kenya mara kwa mara ni Philip Mweta Quality Assurance Manager wakati kabla hajapelekwa sales huyu naye ni muislam swala tano usibabishwe na hilo jina ni la kusomea tu alichukua nafasi ya mgalatia aliyefaulu baada ya yeye kufail.

Sales and Marketing Manager enzi za Mwl Nyerere alikuwa Kibwana swala tano huyu kazi yake kubwa ilikuwa ni kuoa akina Mama kila mwaka.Mke wake wa mwisho alikuwa mrembo wa Air Tanzania baada ya kuiba vya kutosha akakimbilia kugombea ubunge akashindwa mwanamke mrembo akamkimbia siku hizi nasikia kaolewa na Maulid Kitenge kama mke wa pili.

Suala ya kufa viwanda halina uhusiano na dini ya mtu lakini kwakuwa umekimbilia mkondo huo si vibaya nikikupa za uso.




........Wakiristoooo!
 

Asante kwa taarifa. Hata hivyo hawa manyang'au nao ni shida kiasi fulani
 
Nafikiri hivi viwanda vifanyiwe documentary ya kuvielezea ....waandishi wa habari ebu fanya hii kazi tena kipindi hiki cha uchaguzi watanzania wajue kwa nini 1US$ ni TZS 2050 kwa sasa.....tembelea viwanda vyote fanya documentary! Inauma sana....
 
Nafikiri hivi viwanda vifanyiwe documentary ya kuvielezea ....waandishi wa habari ebu fanya hii kazi tena kipindi hiki cha uchaguzi watanzania wajue kwa nini 1US$ ni TZS 2050 kwa sasa.....tembelea viwanda vyote fanya documentary! Inauma sana....

Idea nzuri sana hiyo na itasaidia sana watu angalau kufahamu angalau namna uchumi wa nchi unavyokwenda. Wapi Jerry Muro!!
 

Mkuu umeongea kuhusu moro shoes,icho kiwanda kinaungua moto mimi nilikuwa primary level,but leo nimekua ndo najua nini kilitokea na chanzo cha ule moto....magumashi TZ yalianza kitambo sana!!
 

Wewe hata useme nini si bora huyo unasema "ameoa", kuliko mnaofanya zinaa na kuiba bila mpango mpaka mmefilisi kila kitu.
 
Mods;

Invisible na wengineo,

Kwanini mnaachia watu wanaoingiza mambo yao ya kidini katika mijadala ya kitaifa? Genocide ya nchi jirani ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na radio(tunaambiwa), hivyo mnavyoacha hizi itikadi za kidini kuchukua nafasi katika jukwaa na katika mijadala isiyo ya kidini kuna siku dhamira zenu zitakuja kuwasuta na kuwawajibisha na mtajuta kwanini hamkuchukua hatua mapema.
 
Mashirika ya Umma yaliuawa na sera mbovu. Mashirika hayakuanzishwa kwa ajili ya kuzalisha kibiashara bali yalianzishwa kukidhi matakwa ya kisiasa!
 
Mnakumbuka nguvu za makamisaa na viongozi wa matawi ya Chama sehemu za kazi? Hawakuwa na wajibu wowote kiuzalishaji bali kuhakikisha chama kinakuwa na nafasi stahili na pia linatoa michango ya Mwenge, ziara za viongozi nk
 

Kwa Mara ya kwanza naomba nikukosee heshima Leo wewe ni mchawi aiseee
Jamaa na kuelezea kote juu ya kifo cha General tyre wewe unapinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…