General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

Mkuu huyu ndiyo yule Dada aliyechoma moto computer muhimu za GT na kupoteza kumbukumbu zote na baadae kuajiriwa TOL gases Pale Pugu road plot No 4B.....Pale pia walichoma moto computer muhimu zenye Data na hatimae Menagment yote ya kiwanda ikawa ya wakenya...........wazawa wakaachishwa kazi.......Very sad.......sijui tunakwenda wapi......!!!!!!!???????
 

Hajachukuliwa hatua zozote? au bado yupo mtaan anadunda
 
Kiwanda cha chuma na kiwanda cha mbolea tanga navyo kwisha kabisa
 
Ila kile cha Mbeya Textile jamaa ndo walingoa machine wakapeleka Kenya wale wahindi roho iliniuma sana ila nilipohoji nkaambiwa wakubwa wameidhinisha kwa sasa kile kiwanda kimekuwa ghala la TUmbaku za kutoka Mpanda na Chunya.
General tyre ni moja kuna viwanda Lukuki raisi ajaye awe Lowasa au Pombe inabidi aanze navyo tena kwa kumpa target waziri wa viwanda kila mwaka anatakiwa avumbue viowanda kadhaa na aseme amecreate ajira kiasi gani.
Ifike wakati nje tuagize vitu vya msingi tuu the rest vizalishwe apa inchini pia tuweze export ni suala la kuiwezesha TBS nao wawe serious na mambo ya viwango plus kuongeza ofisi zao.
Nakelwa sana na tabia ya kuomba omba as a nation ni aibu while we have kila kitu it takes kutufanya tujitegemee.
 
Kuna kiwanda cha vioo mwanza kiliuzwa mashine zake mpya kabisa nenda dodoma kuna cha matofali ya kuchoma masine mpya zikauzwa yakabaki matanuru mapya ukipaona inasikitisha
 
General tyre kumilikiwa na serikali kwa asilimia mia. Source: TBC1 magazetini
 
SI lowasa alisema atawaambia wana Arusha muda ukifika ndio ccm wamedandia fasta?Ndio maana NSSF haiwezo lipa watz mafao..siku hizi wanaruhusiwa jibu wanavyotaka ili watu wasikaribie panapotakiwa fikisha madai yao.Very soon,DAU,ZZK ,LIPUMBA na wengine wnaoaadhani hizo hela hazina mwenyewe watazitapika..
 
Haya wakuu leo ndio nimepata kufahamu kwanini General tyre ili kufa ahsanteni sana kwa hoja mujarabu
 
Juzi nilisikia serikali imenunja share zote za general tyre. Kwa hiyo sasa kinamilikiwa na serikali. Ila sasa unamiliki VP kitu kibovu na kisha kujisifia?
 
Mmmh kumbe nchi ilishaoza zamani... yaani kulikuwa na viwanda viwanda vingi kiasia hiki... hivi wanafanya kwa faida ya nani?
... halafu ndo hawa hawa mara wanataka madaraka ya nchi waendelee kupewa, wanataka waipeleke wapi TANZANIA? ... I CRY OOH MY MAMA LAND TANZANIA.
 
Wacha wachukue kabisa,maana ulofa tulojawa nao ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…