Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

Katika mpya! Katikaba mpya! Katiba mpya! Katiba mpya!
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
WEWE ni mjinga, hakuna UHUSIANO wa Kuzeeka na ukweli aliongea.

Alichoongea ni ukweli!! ambao hauwezi kukataliwa na kuzuilika kuusema kisa msemaji anazeeka!!!
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Katiba Mpya ndio inayohitajika, kwa mfumo wa sasa hata Lissu akiwa rais, atapingwa
 
Trump ashinde aje akichukue na hiki kijiji kiitwacho Tanganyika akigeuze Factory areas japo tupate nafuu ya kisiasa.
 
Theoretically Not but practically YES
Vice Versa..., Theoretically Kikatiba inawezekana..., kama ilivyo nchi karibia zote..., ila practically ni ngumu (kama ilivyo nchi zote) ingawa kwa Tanzania ni ngumu zaidi kutokana na nguvu na mizizi ya CCM..., mfano Kenya nchi ya shareholders na ukabila kila mwaka kabla ya uchaguzi vinatokea vyama vingine vya kuundwa ili waweze kupata kura ili waweze kula....

In short currently duniani mwananchi anapata a Raw Deal...
 
Saa hizi ni saa 7.45 usiku tumelala, tukiamka utuambie unachokisema labda tutakuelewa.
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Hhuna akili sawa sawa wewe. Ulimjua lini ulimwengu? Kama ni kuzeeka vibaya mbona asimseme vibaya KAMBARAGE? Jifunze kusoma utamuelewa?
 
Hapana ni mwema sana

İla mtu

kabisa

Na mmeongezeka sana miaka yetu wapuuzi design yako hawakufika mbali

Actually the biggest problem sio tu shuke za kata, Bali mitandao kuwa accessible to people like you
Shuke ni nni mpuuzi wewe?
 
Umeshajiuliza kizazi cha 2000 uzee wao
Bro ccm haifikiri mbele wao wanawaza kushinda uchaguzi basi..
Pia fikiria hawa madogo wa miaka 14 hadi 15 waliofundishwa wizi kwa kuandishwa kama wapiga kura.. baadae utawaambia nini wakishika hatamu?!
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Wewe nawe yeye anaongelea katiba wewe unawaza watu..kwani tangu hao wote umewataja katiba iliishabadirika??? Yeye shida yake ni mfumo sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…