Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu katika haina shida kihivyo, shida ni watanganyika, katiba imetungwa na inasimamiwa na watanganyika!Katiba ya hovyo kabisa, ndiyo maana mimi simpendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu katika haina shida kihivyo, shida ni watanganyika, katiba imetungwa na inasimamiwa na watanganyika!Katiba ya hovyo kabisa, ndiyo maana mimi simpendi
🤣🤣🤣🎯Watanzania bana, yaani sijui mnataka Rais wa aina gani, Nyerere mbaya, Mwinyi ooh tv zimezagaa, Mkapa aah huyu alizidi kutuua njaa na kufunga mikanda bana na akauza mali za nchi na kwenda kujenga SA.
Ni Jakaya asee huyu mifuko haikuchacha, ukimuomba mtu 1000 anakupa 5000 japo huyu naye aliuza na kujigawia mali zetu hadi rizione akajenga sheli mara maroli nk.
JK akasema si mnataka mtendaji, watu NDIYOOOO mara paap John Joseph Pombe Magufuri huyu hapa, wananchi weraa weraaaaa!.
Nchi imepata kiongozi sasa, mzee baba kaanza kuitengeneza nchi na kuwafundisha jinsi mnavyotakiwa kuishi, ile hajafika nusu 😂, miruzi kama yote gafla bin vuu kalala, huku ameacha shangwe ...
Haijakaa sawa nikawaambia msishangilie kabla ya kuvuka mto, mpeni muda huyu 😂 😆 😂 yako wapi, hey nyie kiko wapi sasa?.
Leo kila mtu analo anarudi kwake bila kuaga kutoka kijiweni 😁!.
🙋♂️👊👍👌🤝🙏Raisi anatakiwa awe raia namba 1 katika kuilinda na kuitetea katiba na sio kuwa juu ya sheria.
Mkuu kwani sasa hivi katika wilaya (Jiji sasa) rushwa imeisha??? Uchafu umeisha??? Na barabara zote zimekuwa nzuri???Enzi Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wikaya ya Ilala, Wilaya iliongoza kwa rushwa, uchafu na barabara mbovu
Mkuu nasisitiza tatizo sio katiba, bunge wala mahakama bali watanganyika wenyewe!Really ????
Kwamba technically Katiba yetu haionyeshi ni vipi Wabunge wanaweza kumuondoa President ? Ofcourse practically ni vigumu (kama ilivyo kwa nchi nyingi) ila technically its possible...
🙋♂️✍️🎯💉👌👍👏👊🤝🙏🎖️Rais anaweza kufukuza wabunge ?
In really sense tatizo ni Politics za Dunia nzima sasa hivi zimekuwa za maslahi na matumbo ya watu, and nothing to do with the betterment of Common Mwananchi...
Hata Kenya Vice President ametoka kwa zengwe na kukosa kwake a political (klaut , pesa au wadau)... Ni kama huku Ndugai alivyopigwa zengwe kwa watu ku sense opportunity ya kupata Cheo, au labda kupewa chochote kuendeleza Uchawa..., Kama Margaret Thatcher alivyokuwa ousted (power struggle) au Republican walivyoshangilia Impaechement ya Clinton lakini Trump alifanya worse na wakamtetea...
Moral of the Story: The Political System has been a Joke worldwide for quite some time...
🙋♂️📝✍️🎯💉🤝🙏🎖️Mamlaka ya Urais wa nchi yetu ni ya kifalme. Yaani kwa mfano leo Rais Samia hata akitaka kufanya lolote lile liwe baya ama zuri kwa nchi HAKUNA mamlaka yoyote ya kuhoji ama kumwajibisha kisheria - mbaya zaidi hata akistafgu pia haipo.
Hizi chaguzi huwa ni kiini macho - yeye ana uwezo wa kuwaambia wasaidizi wake nipeni wabunge idadi hii, madiwani idadi hii na kura zangu ziwe idadi hii - hakuna wa kuhoji wala kuguna.
Ni kweli hii nchi ni ya kifalme.
🙋♂️✍️🎯💉👊👏👍👌🤝🙏🎖️🛡️Mwenyekiti wa Chama anaweza akafukuza wanachama wake wote ambao at that given time ndio wabunge ? Hata akifanya hivyo wanaweza kwenda mahakamani na kuwa wabunge wa mahakama (thoretically) kwahio tu pull it off sio rahisi..., kama ilivyo nchi nyingine zote to pull something off sio rahisi; (Ndio maana Republicans wanamkumbatia Trump) ingawa ni tofauti na normal Republicans ila ndio hivyo anawaletea mkate wa kila siku (Kura za kuweza Kula)
By the way they is a possibility that a Convicted Criminal could the next US President in the next coming days..,; Kwahio talking about loopholes they are everywhere in every country Political System...; Dawa pekee ni kuwa na informed Citizens ambao wanaweza kusema enough is enough..., asking for now na sio miaka mitano ijayo au kwa kuona kitu fulani hakipo sawa kukidai sasa hivi na sio kuongelea Sheria inasema nini (Sababu kama Katiba ni Sheria na Sheria zinavunjwa kila leo) Basi utamaduni wa kuendelea kuvunja Sheria utaendelea hata kama Katiba ikiandikwa na Malaika....
🙋♂️💉🎯🤝🙏Kama alivyofanya yule wa Chato,katuachia genge la wahuni mjengoni wanapitisha kila urojo unaoletwa na serikali kwa vile waliingizwa mjengoni na dola na siyo wapiga kura na kwa maana hiyo utii wao ni kwa serikali iliyowapa ulaji.
🤝🎖️👑🛡️A sitting president of the United States has both civil and criminal immunity for their official acts. Neither civil nor criminal immunity is explicitly granted in the Constitution or any federal statute.
The Supreme Court of the United States found in Nixon v. Fitzgerald (1982) that the president has absolute immunity from civil damages actions regarding conduct within the "outer perimeter" of their duties. However, in Clinton v. Jones (1997), the court ruled the court ruled against temporary immunity for sitting presidents from suits arising from pre-presidency conduct. Some scholars have suggested an immunity from arrest and criminal prosecution as well, a view which has become the practice of the Department of Justice under a pair of memoranda (1973 and 2000)
What about Pardon:
The president of the United States is authorized by the U.S. Constitution to grant a pardon for a federal crime. The other forms of the clemency power of the president are commutation of sentence, remission of fine or restitution, and reprieve. A person may decide not to accept a pardon,
Moral of the Story: Ni wananchi kuwa informed ili chochote ambacho hakipo sawa no matter hata kama kipo legally waweze kukibishia haijalishi wapi au wakati gani..., bila hivyo dunia ya leo ya mwenye nacho kutaka zaidi ukitegemea Sheria ambayo ipo favored kwa the strongest wananchi wa dunia nzima wataendelea kuwa watazamaji huku wakiendelea na DUA zao za KUKU..., Case in Point Gen Z's wa Kenya walikuwa na argument ya kweli baada ya muda wamepoa ila kilichokuwepo kabla bado kinaendelea na kitaendelea
👍👏👊🤝🙏Mzee ulimwengu ni mmoja wa wabunge waliounda umoja ulioitwa G-55 ambao ulianzisha hoja ya kuwepo serikali ya Tanganyika. Hivyo mzee Ulimwengu hakuwa kijana wa mwalimu Nyerere.
👏👏👏🤝🙏Kitu ambacho hujakielewa hapo; yeye hajatuhumu mtu, ametuhumu katiba so kwa maneno mengine ni kwamba kwa katiba hi tulionayo, hata yeye akija kua rais hali itakua hiyo hiyo. Hajamtuhumu mtu yeyote hapo; again, hili sio jambo jipya, hata mwalimu Nyerere aliwahi kulidokeza hili jambo tena akiwa bado madarakani; kwamba katiba ile, rais ni kama Mungu mtu. Ni wewe tu ndio hujamuelewa Jenerali Ulimwengu
Huyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
Wananchi wakeKwani Rais wako anawajibika kwa nani???
Hapana ni mwema sanaMtu anayekuambia kaboka lako limetoboka makalioni anakuwa mbaya?
kabisaChallenges ipi hapo au upuuzi tu huo? Huwa nasema siku zote shule za kata ni tatizo zinazalisha wajinga wengi
Sema Tuna akili kiduchu sanaUna akili kiduchu sana mkuu.
Anaingelea kiti au mamlaka ya rais na sio mtu.
Hata mimi na wewe tukiwa marais bado katiba hii itatufanya tuishi kama wafalme kwa vile hakuna mamlaka iliyopewa uwezo kumwajibizha rais.
Steven nyer.ere hahahahaWazee wachache waliobaki na upeo wa mambo makubwa.
Nasikitikia sana nchi yangu baada ya miaka 20 wazee watakao kuwepo.
Yani mkuu suala la kusikitisha hapo kuna dotto magari, stivu mengele, na bongo ndio wazee watakao kuwa wanasikilizwa...Steven nyer.ere hahahaha
Utakumbuka hata juzi kati mzee warioba alipata kusema serikali iliteka mihimili mingine yoote.Si kweli!
Baraza la mawaziri wanaweza kumuondoa rais madarakani.
Na kwa mujibu wa ibara ya 56A ya katiba, Bunge linaweza kumuondoa rais madarakani.
P