Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila Mtawala akiikuta hiyo Katiba inayompa Nguvu za Kimungu anaona inamfaa anaiacha labda sisi Wapinzani tukiingia lakini pia sisi tukiingia who knows...😂🤣Lakini hakusema isibadilishwe mkuu, ni vile tu sisi em wameamua kushupaza shingo kusifia tu.
Binti shule za kata zimekuharibu sanaYou don’t to mention any name
Unless huna D mbili
He implied
🤣🤣🤣 Mkuu hata mimi nikiingia kwa kiti dahh🙌 nitafunika kombe tu.Kila Mtawala akiikuta hiyo Katiba inayompa Nguvu za Kimungu anaona inamfaa anaiacha labda sisi Wapinzani tukiingia lakini pia sisi tukiingia who knows...😂🤣
Kmmmk kasema kweliKweli tupu yupo juu ya sheria na katiba
Hujanielewa wewe mtu,hoja ni kwamba madaraka aliyonayo Rais ni makubwa mno hata akiamua jambo baya hakuna wa kumzuiaHuyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
General ni mhandishi wa habari, hawezi kuandika kama mwalimu wa std 2 kwamba kila kitu uelewe!.😆😆😆ukute ninyi ndio munaojiita wasomi hivi umemuelewa Ulimwengu?kuna alipomtaja Samia?
Huyo General anamaanisha mfumo uliopo....je akija raisi kichaa au ambae ana upungufu wa akili au mamluki kipi kitatokea?General ni mhandishi wa habari, hawezi kuandika kama mwalimu wa std 2 kwamba kila kitu uelewe!.
Ni sahihi. Kwa namna alivyo Rais wa Tanzania, mamlaka yake ni kama ya shetani. Shetani hana mpaka wa kutenda kazi, ana uwezo wa kuhadaa wote wote, wakati wote na kwa kiwango atakacho.Kweli tupu yupo juu ya sheria na katiba
Loh! Wewe yawezekana hujawahi kuwa na akili timamu. Umeshindwa hata kuelewa hoja yenye mantiki ya Generali Ulimwengu, umeishia kuropoka!! Ikiwa hoja iliyoletwa imeuzidi upeo wa akili yako, si lazima uchangie, unaweza kusoma tu michango ya wenye uelewa, mawazo yao yakakufanya upige hatua japo kidogo ya uelewa.Huyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
Mpumbavu yeyote yule huwa anaacha kujadili hoja anajadili mtu, hiyo ni sifa kuu ya mpumbavuHuyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
Aisee kuna ukweli mchungu hapoNimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.
Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
Lazima useme hiviLoh! Wewe yawezekana hujawahi kuwa na akili timamu. Umeshindwa hata kuelewa hoja yenye mantiki ya Generali Ulimwengu, umeishia kuropoka!! Ikiwa hoja iliyoletwa imeuzidi upeo wa akili yako, si lazima uchangie, unaweza kusoma tu michango ya wenye uelewa, mawazo yao yakakufanya upige hatua japo kidogo ya uelewa.
Wapi rais Jana madarakaHujanielewa wewe mtu,hoja ni kwamba madaraka aliyonayo Rais ni makubwa mno hata akiamua jambo baya hakuna wa kumzuia
This is your bottom lineBinti shule za kata zimekuharibu sana
Kabisa bloMwandiko wa la Saba B huu.
Yuko sahihi kabisa, na ile sheria yenye nguvu kuliko sheria na katiba ya amri toka juu, mzizi wake ni mamlaka haya ya kifalme ya rais.Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.
Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria