Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili

yeye anaizungumzia mamlaka ya Rais, wewe unataja mijina! hopeless!!!!!!

JESUS is Savior
 
Nashukuru sana kwa kunielewa

In short, kwa standard za jenerali ulimwengu ktanzani ni ya mfalme who is not accountable to any, which is not true

Amemuacha Nyerere because alikua kijana wa nyerere

I have lived long enough to see Mwingi, mkapa and jakaya being scrutinized

Magu was a different cloth

Tatizo huku baadhi ya watu hata basic hoja wanataka iwe concluded as ccm vs chakadomoz
Mzee ulimwengu ni mmoja wa wabunge waliounda umoja ulioitwa G-55 ambao ulianzisha hoja ya kuwepo serikali ya Tanganyika. Hivyo mzee Ulimwengu hakuwa kijana wa mwalimu Nyerere.
 

Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    JamiiForums1389173211.jpeg
    25.7 KB · Views: 1
Watanzania bana, yaani sijui mnataka Rais wa aina gani, Nyerere mbaya, Mwinyi ooh tv zimezagaa, Mkapa aah huyu alizidi kutuua njaa na kufunga mikanda bana na akauza mali za nchi na kwenda kujenga SA.

Ni Jakaya asee huyu mifuko haikuchacha, ukimuomba mtu 1000 anakupa 5000 japo huyu naye aliuza na kujigawia mali zetu hadi rizione akajenga sheli mara maroli nk.

JK akasema si mnataka mtendaji, watu NDIYOOOO mara paap John Joseph Pombe Magufuri huyu hapa, wananchi weraa weraaaaa!.

Nchi imepata kiongozi sasa, mzee baba kaanza kuitengeneza nchi na kuwafundisha jinsi mnavyotakiwa kuishi, ile hajafika nusu 😂, miruzi kama yote gafla bin vuu kalala, huku ameacha shangwe ...

Haijakaa sawa nikawaambia msishangilie kabla ya kuvuka mto, mpeni muda huyu 😂 😆 😂 yako wapi, hey nyie kiko wapi sasa?.

Leo kila mtu analo anarudi kwake bila kuaga kutoka kijiweni 😁!.
😆😆😆ukute ninyi ndio munaojiita wasomi hivi umemuelewa Ulimwengu?kuna alipomtaja Samia?
 
Ajabu sana hii. Tukiwa tunaishi kwenye giza nene, jirani tu hapo Kenya kuna mwanga.

Last week nilikuwa hapo bungeni, nikamwambia mshikaji ukiwaona na misuti utadhani watu wa maana, kumbe hawawezi kuifanya chochote serikali
Wanakwambia wanadumisha amani
 
Inasikitisha, hata huko mikoani kijijini wataomba mfalme mama mheshimiwa amiri jeshi mkuu rais Dr. Samia Hassan atatue shida ya maji.

Mgogoro wa ardhi napo watalia rais afike katika makaazi yao atatue mgogoro. Ilitakiwa serikali za mitaa madhubuti zilizochaguliwa na wananchi kupitia Halmashauri za Wilaya na serikali za majimbo kutatua matatizo msingi ya maji, visima, vituo na hospitali,,shule na vyuo vya elimu ya kati na ufundi.

Treni ya EMU mchongoko nayo inaitwa Samia Express 2024. Kiwanja kipya cha mpira Samia..

Yaani hata sisi raia tumpa wenyewe ufalme kwa hiyari yetu mbali ya katiba pia kumfanya rais mfalme
 
IMEBAKI KUANZISHWA SHINDANO LA SHAIRI KUMUENZI RAIS MFALME

Hatuna tofauti na mababu zetu walivyokuwa wanashindana kuandika mashairi kumpongeza mfalme King George :

Wa-Shairi tusiwe nyuma tufanye hima kuja na tungo kwa ajili ya siku hii ya kumbukumbu 2024, ni uzalendo kiongozi haji bali kwa mapenzi ya Mungu yaani ukiona mtawala ameukwaa uongozi juwa nyuma yake amekingiwa kifua na Mungu.

Tujikumbushe jinsi hali ilivyokuwa enzi za Tanganyika iliyokuwa koloni chini ya utawala wa Mwingereza

Toka maktaba :

Sisi raia inabidi tukae kutunga shairi , wimbo au tenzi kukumbuka siku hii adhimu ya kuzaliwa mtawala wetu Maulana King George V.

Heshima ya King George V ( “Respect for King George V”)16 Kaniki Nguo ya Kale, Dar es Salaam Mambo Leo (c.1923-36)

(1) Leo siku ya tatu katika mwezi wa Juni(1) Today is the third day in the month of June
Kazaliwa Bwana wetu King
George Sultani
When was born our lord and sultan King George
Jamii ya wote shime andameni
Mkongeni
Everyone hurry up and proceed to Mkongeni
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(2) King George ni mwana wa King
Edward
(2) King George is the son of King
Edward
Amezaliwa Ulaya nchi ya upande wa kaskaziHe was born in Europe in a country to the north
Kama tujuavyo yeye ni pekee asadi17As we know he is a special lion
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(3) Watakutana mabwana wakubwa na wadogo(3) The noble and the lowly will participate
Hapazuiwi kijana akuambiaye ni mrongoNo youth will not be denied; whoever tells you otherwise is a liar
Wala fujo hapatakuwa ya mafimbo na magongoNor will there be disturbances with sticks or clubs
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(4) Siku hiyo ni siku ya furija na anasa18(4) This day is a day of celebration and entertainment
Atakayejaliwa kwenda furaha hatakosaWhoever attends will certainly be happy
Kwani ni siku ya idi bashasha yatupasaFor it is a holiday and we are expected to be joyful
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(5) Atahudhuria Gavana bwana wa
Tanganyika
(5) His Lord the Governor of
Tanganyika will attend
Siku hiyo mwenye nishani itampasa kupachikaOn this day whoever has medals should wear them
Asiyekuwa na mwana hata jiwe ataeleka19The one without children should carry a stone
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(6) Akina Bwana Askari hupanda wao farasi(6) The soldiers will mount their horses
Mwendo wao taratibu kama mwendo wa papasiThey will pass slowly by, at the speed of a tick
Kuwaonyesha raia mambo yasiyo kiasiTo show the citizens extraordinary things
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(7) Tazameni ibura ya Mfalme kuwa
Ulaya
(7) Look at this extraordinary celebration for a king who is in
Europe
Huko mambo mbayana kama amehudhuria20There [at Mkongomeni] things will be celebrated as though he were attending
Jamaa ukaidi wani mbona mtaangamia21What’s the point of being stubborn lest you be destroyed?22
Tukatazame heshima ya maulana King George.So we see respect paid to His
Highness King George
(8) Kuna wingi wa Polisi wazuiao hatari(8) There are many police to prevent danger
Wapitisha kwa kiasi zote pia motakariThey only allow selected motorcars to pass
Hiyo ndiyo dunia wala nyingine haiwiThat is indeed how the world is.
It cannot be otherwise
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(9) Mfalme King George wote mnamjua(9) Sovereign King George all of you know him
Kwa alama za mataji mara utamjuaBy the symbol of his crowns you’ll immediately recognize him
Na utakapo ya zaidi soma utajuaAnd if you want to know more, read about him
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(10) King George ana sifa kupenda wake raia(10) King George is known for liking his subjects
Walio bora na hafifu wote twamfurahiaThe upper and lower classes we all are happy for him
Tumwombee Rabuka huruma amzidishieLet us pray to God will show more mercy to him
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(11) Sifa hapa zimekoma mwaka huu najaribu(11) The praises end here, this year I am trying
Labda nitapata yangu huwa bahati nasibuPerhaps I will have my luck
Sikukaa nasimama nangoja yangu matulubu23I am not sitting, I stand, waiting to get what I expect
Tukatazame heshima ya maulana King George.So we see respect paid to His
Highness King George
15The following example of another birthday poem for King George composed by a poet with the pen name “Komagi bin Sansa
 
Back
Top Bottom