TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Watanzania bana, yaani sijui mnataka Rais wa aina gani, Nyerere mbaya, Mwinyi ooh tv zimezagaa, Mkapa aah huyu alizidi kutuua njaa na kufunga mikanda bana na akauza mali za nchi na kwenda kujenga SA.
Ni Jakaya asee huyu mifuko haikuchacha, ukimuomba mtu 1000 anakupa 5000 japo huyu naye aliuza na kujigawia mali zetu hadi rizione akajenga sheli mara maroli nk.
JK akasema si mnataka mtendaji, watu NDIYOOOO mara paap John Joseph Pombe Magufuri huyu hapa, wananchi weraa weraaaaa!.
Nchi imepata kiongozi sasa, mzee baba kaanza kuitengeneza nchi na kuwafundisha jinsi mnavyotakiwa kuishi, ile hajafika nusu 😂, miruzi kama yote gafla bin vuu kalala, huku ameacha shangwe ...
Haijakaa sawa nikawaambia msishangilie kabla ya kuvuka mto, mpeni muda huyu 😂 😆 😂 yako wapi, hey nyie kiko wapi sasa?.
Leo kila mtu analo anarudi kwake bila kuaga kutoka kijiweni 😁!.