Mamlaka ya Urais wa nchi yetu ni ya kifalme. Yaani kwa mfano leo Rais Samia hata akitaka kufanya lolote lile liwe baya ama zuri kwa nchi HAKUNA mamlaka yoyote ya kuhoji ama kumwajibisha kisheria - mbaya zaidi hata akistafgu pia haipo.
Hizi chaguzi huwa ni kiini macho - yeye ana uwezo wa kuwaambia wasaidizi wake nipeni wabunge idadi hii, madiwani idadi hii na kura zangu ziwe idadi hii - hakuna wa kuhoji wala kuguna.
Ni kweli hii nchi ni ya kifalme.