Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

Namhurumia mtu atakaye kuwa rais wa nchi hii kwenye miaka ya 2040. Kwa kuwa atakuwa anawaongoza watu ambao kwa sasa ni watoto wanakua kwa kudekezwa na kulelewa kama mayai.
By then kizazi chetu cha watoto tuliokua kwa kuchunga ng'ombe na kucheza kwenye majaruba ya mpunga huko Sengerema kitakuwa kimezeeka.
 
Wanapiga selfie wakiwa wameng'ata midomo, ni shidaaah
Mimi ni Surveyor by professional, hivi vitoto vilivyograduate survey karibuni ukiingia navyo chaka by saa 5 asubuhi tu vimeshatepeta, Enzi zetu tulikuwa tunaingia pori saa 1 asubuhi kutoka saa 12 jioni, no kula no kupumzika, ni kushindia soda na bites tu
 
Hawa madogo wenye kuvaa jeans za kamatia chini hawawezi kuwa na mawazo mazito ya kukabidhiwa Tanzania ili muendelezo wake uwe chini yao. Hawa bado sana.
 
Mimi ni Surveyor by professional, hivi vitoto vilivyograduate survey karibuni ukiingia navyo chaka by saa 5 asubuhi tu vimeshatepeta, Enzi zetu tulikuwa tunaingia pori saa 1 asubuhi kutoka saa 12 jioni, no kula no kupumzika, ni kushindia soda na bites tu
Halafu wanadai wakabidhiwe bongo eti ni wakati wao kutamba!. Mayai sana hawa vijana.
 
Nimecheka sana na kusikitika! Wengine tunafikiria hii generation itaishia wapi wewe ndio unaona wakombozi? Generation bora imekuta baba zao wanateketeza nchi, hadi generation hii (generation bora) inazeeka bado baba zao wanateketeza nchi. Kifupi generation bora nchini haikupata nafasi, kwasababu hadi leo generation ya 50s ndio inafanya maamuzi.
Mkuu nakubaliana nawe, maana kwa nchi yetu mpaka sasa generation ya 1940 ndio nadhani ilikuwa bora. Pindi hicho hakuna kiongozi alijiona ni bora kuliko mwingine, vyama vya wafanyakazi vilikuwa na nguvu katika mambo yao. Wakulima walikuwa wapata mbolea bure ama ruzuku, wanamuziki walitunga/waliimba nyimbo mafundisho na hekima, Katiba yao iliheshimiwa, hakuna aliyekuwa juu ya sheria maana tumewaona mawazili, mabalozi, wakurugenzi wa mashirika makubwa kama BoT nk wakichukuliwa hatua na kupelekwa mahakamani kwa mujibu wa sheria na sheria kuchukua mkondo wake. Ni wakati MIHIMILI YOTE YA NCHI kuheshimiana na kufanya kazi zao kwa mujibu wa KATIBA. Mazuri yalikuwa mengi sana.
 
Hawa walevi wanaoitajirisha Tanzania Breweries? Na. Lakini generation inayofuata itaikomboa nchi.
 
Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.

Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s

Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.

Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.

Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
Wakuanzia 1990 ndiyo machawa zaidi ya Ccm,

Kizazi Cha kuanzia 2010 na kuendelea wanaweza wanajitambua mapema endapo sisi wazazi tunaojitambua tukiwashika mkono.
 
Back
Top Bottom