Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

Uko sashihi kabisa, ni ngumu sana binadamu kushinda dhidi ya wakati. They are coming
 
Ndio! Hii FALSAFA imeegemea kwenye ukweli kwa sababu wao, yaani wale wataalamu wa mambo ya kijamii na mahusiano ya watu walipima na wakakuta ni hivyo. Kwahiyo mabadiliko ya kweli ya kisiasa yataanzia mwaka 2030 pale ambapo yule aliyezaliwa mwaka 1990 atakuwa ametimiza miaka arobaini [ 40 ] na atakuwa na vigezo vya kugombea URAIS.
 
Hao waliokula mahindi yaliyoekewa mbolea ya viwandani ndio unawasifia? Subiri kidogo utawajua kiundani jinsi walivyo mbona utafurahi na roho yako
 
90?? Kwa elimu gani? Hii elimu bure imefanya tuwe na wajinga weeengi waloenda shule!!
Zaidi ya kumjadili dayamondi,kiba na hamonaizi hamna kitu mnajua...
 

Itoshe kusema tu, you are still a stupid mind, from the first text tu nlishajua upo kwenye hali gan na tatizo lako ni kwamba hujaelemika bado una utoto mwingi, bado hujakua! nlivokwambia umepigika nlikua sure ndo maana unalilia free lancing, kwa kifupi shida yako sio umaskini ila una upumbavu!

  • Mtaji wa entrepreneurs ni matatizo, hakuna entrepreneur anaelelewa mdogo wangu!
  • kwahio paypa ikiwa hairuhusu incomming transactions ndo pesa zako haziwezi kufika nchini? unajua nchi ngap haziruhusu paypal? na cha ajab nn apo mbna china na maendeleo yote bado imepiga ban youtubers, infact hakuna huduma za google wala facebook.

- in simple words as i said earlier wewe bado ni mjinga unahitaji elimu zaidi!
 
Sawa dada, nimekuelewa![emoji106]
 
Yaani hii jamii inashindana kuvua nguo, wanawake wamengangania kuzivuta juu gauni zao ili wakae uchi, na wanaume kuteremsha suruwali chini ya mapaja ili matako yakae wazii?

Hii Jamii hamna kitu kabisa. Labda tuongeze nguvu tuzidi kulima viavi mbatata, sababu nchi wanaipeleka raia wategemee chps kiwe chakula kikuu Tanzania.
 
Mkuu mi pia nipo kwenye umri tajwa, lakinj kizazi hiki kwa ukombozi hapana aisee.

Kizazi cha connection!! Vijiweni ni story za madem na mpira hakuna siasa hata kidogo. Kijana anamjua raisi tu kwenye serikali nzima, hawa hapana mkuu.
Umesahanu kusema pia ni kizazi ambacho kinapata pesa kwa njia ya 'kubet".Vijana hawa ukiwasachi mifukoni utakutana na mikeka.🀣🀣🀣
 
Miaka ya 78 kina Sitta ,Warioba na wenzie walimdindia Nyerere kuhusu mishahara ya wabunge. Wakapigwa sana lakini hali ikaonekana! Miaka ya 1986 Mwinyi alichipata alipochorwa kama mwanamuziki mbilia bel na baraza la wanenguaji akajitahidi kuwakomesha lakini msg ikafika. Miaka ya 1988 Tamasha la vijana pyong yan wakati maalim seif ameshughulikiwa na nyerere vijana walichachamaa na wakataka kumshusha Shushushu Moses Nnauye kwenye ndege, Mwinyi akashughulika nao lakini msg ikafika na UVCCM ikawa kweli ya vijana.
Mifano michache tu ya Nyani wazee walivyopambana na mwamba Nyerere chini ya chama kimoja.
Ilikuwa wakati wa "Burning Hill" University of DSM.
Niambieni siku hizi vijana wamekula na kuvimbiwa na maharage ya aina gani,? Nchi hii inaenda kukabidhiwa wazungu. Huyu Mkoloni Fisi mweusi atakapotesa sana watu wazungu watajiingiza kwa kisingizio cha ukombozi na baadaye tunarudi utumwani na mavuno ya madini na raslimali rasmi vitakuwa vya Ulaya na marekani TRUST ME!
 
Vijana tupewe nafasi tuonyeshe uwezo wa kujenga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…