Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
wote hao utakuwa unawaonea tu..Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?..
Kwa mujibu wa member mmoja humu, ilikuwa ni Saa 8Jiwe alikuwa ni katiri na alitafuta makatiri wenzie waonee raia... Ukatiri wa Jiwe nadhani ni wa kutisha sana hawa kina Saba na Makondakta ni sehemu tu ya mifano ya ukatiri wa Jiwe... nilisikia Jiwe alishampasua mtu kwa risasi ya kichwa kikapasuka ndani ya white house... isije kuwa ndie saa 8 masikini... jiwe alitakiwa nae awe ndani pamoja na genge lake la kikatiri ikiwezekana mwili wake ufukuliwe upelekwe lock up
Una akili za kitoto. Sasa ni kitu gani umeandika?Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?
Wameogopa mafuriko ya watu mahakamani.
Mahakamani ni sehemu ya kutoa haki kwa hiyo ni vizuri amepelekwa huko ili sasa akina Mbowe wawe wanaenda mahakamani kutoa ushahidi juu ya madai yao.
Mbowe asipoenda kutoa ushahidi mahakamani tutajua ni unafiki tu
Hata Mbowe alikaa Segerea kwa miezi nne na madawa ya kulevya yakaisha mtaani
Makosa mengi alifanya Arusha.Nini tatizo?Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?
Wameogopa mafuriko ya watu mahakamani.
Mahakamani ni sehemu ya kutoa haki kwa hiyo ni vizuri amepelekwa huko ili sasa akina Mbowe wawe wanaenda mahakamani kutoa ushahidi juu ya madai yao.
Mbowe asipoenda kutoa ushahidi mahakamani tutajua ni unafiki tu
Hata Mbowe alikaa Segerea kwa miezi nne na madawa ya kulevya yakaisha mtaani
Ushahidi wote RC Anna anao ila NI dharau tu kwakuwa alitokea upinzani.Kwani aliwaonya sana OCD NA DC
Kwa mwendazake, Sabaya alikuwa juu ya mama. Nashangaa hilo umeshindwa kuliona.Huyo mama nae alipokuwa RC pale Kilimajaro alikuwa very weak ndio maana hakuwa na impact; hasa kwa Wilaya ya Hai, alipelekewa malalamiko mengi dhidi ya afisa Ardhi wa Hai kuwa corrupt lakini alishindwa kumchukulia hatua ingawa alikuwa anajua ukweli wa mashitaka hayo!
Kuna kina Sabaya kibao humu nchini, enzi za hayati hapakuwa na utawala wa kisheria, kuwalaumu waliopaswa kuchukua hatua ni kuwaonea. Yote yaliyo fanywa na akina 'Sabaya' yalikuwa na full backings ya marehemu.Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?
Kiongozi siku zote yuko sahihi. Wangefanya nini wakati mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama, dc Sabaya ndie mharifu?Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Hai ina maswali ya kujibu.
Walikuwa wapi wakati uharamia wote ukifanyika?