mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Alikuwa anavaa Hadi Sare za Polisi. Kijana alikuwa na nyodo Sana.Kamati nzima ya ulinzi ya wilaya na ya mkoa yafaa iwajibishwe inakuaje yote yanatokea na wapo tu.Nani alimpa askari, magari, silaha nk Ili akafanye uhalifu.Hata wale askari wanaonekana kwenye ccctv nao wakamatwe