KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Haya maongezi uliyadukua mkuu, hadi ku'paraphrase' hivi?Alichosema ni kwamba "Kweli mzee nimechukua kiasi hicho, ila ni kwaajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu huu unaokuja 2020, nimefanya hivyo kukisaidia Chama ili kisitumie hela nyingi kanda ya kaskazini, na nakuahidi Mbowe namuangusha uchaguzi huu. Harudi bungeni. Hizi hela nimechukua kutoka kwa mfanyabiashara anaempa Mbowe jeuri ya kampeni ili nimuangushe Mbowe".
Sihoji uovu wa hao wawili; lakini nina shaka, wewe ulipataje maneno ya uhakika hivi?