Geniveros interview on muosha rungu live show!

Ahsante

Naimani for the love of God hii ndo mwisho ikitokea imebounce sitaolewa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewakumbuka watu fulani fulani na maneno yao mbofu mbofu.
Teh tulitegemea utakuwa umefubaa sasa hivi, uso hauna nuru na mashavu yanachuma kunde, unaanzaje kuachika?. Sana sana ungeolewa na divorcee au mgane, ila kweli Mungu sio HS. Binamu ukijitahmini wewe binafsi na as long as Mungu anakuthamini, basi inatosha sana tu. Enjoy mama angu, Mungu azidi kukufanyia amani
Umenijibia my cuzoo
Ahsante binamu namuomba sana Mungu wanaume wana ubaguzi sana kuoa mwenye watoto kwao wanaona dhambi ila wao sisi tunawavumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen.
 
Usikute umeniwazia kwamba mm n jinsia KE


Anyway, watu wanachepuka sana, wanafanya wanayoona wao kwao nisahihi bila kuangalia madhara wanayoweza kuyapata wao kama wao, , hisia za mwenzie, familia na ndugu walioko nyuma yake, nilipokua kadogo nilikua nawaza kuoa mapema, akili yangu wakati huo ilidhan huu upuuz unafanywa na vijana walioko kwenye umri nilioko sasa hiv(foolish age) na waathiri wengi wa magonjwa ya zinaa na ukimwi wanayapata kwenye umri huo.. ndivyo akili yangu ilivyokua inawaza , kwa bahati nikabahatika kusoma medical school, nikiwa mafunzon kwa vitendo hospitals za hapa mjini ndio nilikuja gundua i was totally wrong kuhusu, huko ndoan ndio shida kubwa iko hko, kasheshe nying ndio ziliko lala, kwa kweli bila Mungu sidhan


Unaweza tulia zako, ila mwenzio akawa anadunda huko kama katenes kila mahali, hiyo inaweza isiwe case sana, n kasheshe n kwamba, hata kujilinda hajilindi, yanampata anakuletea na wewe, vitoto bado vidogo maskin wazazi mnaondoka, mtihan mkubwa sana
 
Post murua, mwandiko umesimama wima kama siles za mikate ya Bakhresa, maneno kantu, walai unaweza nywea chai
 
Huu uzi ni inspirational kwa single moms....waoaji wapo tu hawajali una mtoto au lah...ila kuna single moms wengine wako hot hata ukiwa na msimamo unnaweza kubadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…