Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
AhsanteNiseme kweli mimi si mpitaji au mpenzi wa haya majukwaa tofauti na Siasa, GT, int forums etc, but leo ktk list ya new posts ktk app yangu nikaiona hii thread... awali niliipita pita lkn Kuna kitu kikanisukuma niifungue na nikajitahidi isoma mpaka mwisho.
Kwakweli ulimwengu wa mapenzi na ndoa kwa karne hii ni mgumu sana! Yataka moyo na kujitoa. Changamoto za leo ni nyingi kwakua maisha yamebadilika sana!
Pia hongera sana kwakua focused na mama mzuri. Nami nikuulize ka swali ka utafiti, vipi ikitokea (Siombei hivyo) chance ya pili pia ikapotea utakua tayari kujaribu ya tatu?
Mungu akubariki Binti mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naimani for the love of God hii ndo mwisho ikitokea imebounce sitaolewa tena
Sent using Jamii Forums mobile app