Twende tu kule,kuna ngoma nzuri balaa sijui umepotelea wapiHi mpenzi, kinaendelea nini kuleeee!
Utamchinja uweke nyamaHaya jibu msomi[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
hahaha hii imenichekesha sana kikapu hahaha..Kuna binamu yangu yeye moyo wake huwa anabeba kwenye kikapu, akifika mahali anaubwaga, akitendwa anaunyanyua anaenda kuubwaga kwingine, yaani yeye huwa anapenda kweli kweli. Tatizo ni anakopenda masikini!!! Na huwa hajifunzi, yeye akipenda kapenda!
Wapi?nishtueTwende tu kule,kuna ngoma nzuri balaa sijui umepotelea wapi
Geni mbea wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe je?Geni mbea wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah!hold u down from jlo and ja rule!What song best describes you!
DJ sepetu
What are things you planned to have but still you don't haveDaah!hold u down from jlo and ja rule!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine my no one from Enrique
Aisee hadi nmenyong'onyea baada ya kusoma hapa nahisi ningekua mie nngekufa hapo hapo..pole sana mamy
cc Moderator give this lady a trophy.Don't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani
Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tu. Muosha rungu alivyo sharp.Barua ya aina gani maybe? Siandiki barua ila naandika sana tu. Hiyo siku sidhani kama itafika
Wa baba hatuna shida na malezi ya watoto wa wake zetu. Tatizo ni baba wazazi wa watoto. Chokochoko.Huwez amin my dear and from very first time nlimuambia ukwel na amewakubal yaani kua na watoto sio kigezo cha kukataliwa mbona sis tunalea wa kwao tunaowakuta .
Mimi wanaoponda single mama nawaangaliaga tu haswa wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara kuubwa but soon ntamiliki not more than six yrsWhat are things you planned to have but still you don't have
Kwann
DJ sepetu
Haaahaaa. Ndio maana unayakimbia.
Hufi unazimia tu!na maisha yanasonga!!![emoji1]Aisee hadi nmenyong'onyea baada ya kusoma hapa nahisi ningekua mie nngekufa hapo hapo..pole sana mamy
Its over btn us!!anapaswa aniheshimu tu!!Wa baba hatuna shida na malezi ya watoto wa wake zetu. Tatizo ni baba wazazi wa watoto. Chokochoko.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hilo jina lakooocc Moderator give this lady a trophy.
Five things tu ungepewa nafasi ya kuwa navyo ni nnBiashara kuubwa but soon ntamiliki not more than six yrs
Why;kwa sababu wakati mzuri ni ule wa Mungu don't force
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunaogopa sana kama mume mwenzangu yupo hai. Tunaamini kuwa mapenzi hayaishagi. IPO siku mtapeana tena.Umenijibia my cuzoo
Ahsante binamu namuomba sana Mungu wanaume wana ubaguzi sana kuoa mwenye watoto kwao wanaona dhambi ila wao sisi tunawavumilia
Sent using Jamii Forums mobile app