Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Huwez amin my dear and from very first time nlimuambia ukwel na amewakubal yaani kua na watoto sio kigezo cha kukataliwa mbona sis tunalea wa kwao tunaowakuta .
Mimi wanaoponda single mama nawaangaliaga tu haswa wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa baba hatuna shida na malezi ya watoto wa wake zetu. Tatizo ni baba wazazi wa watoto. Chokochoko.
 
Back
Top Bottom