Hawajui ya Mungu ndo maanaahhaa wanasemaga ukiachika utaend wapi? hahah huwa nadharau sana watu wa kuongea shit za namna hii !hongera zake
Fact ur happiness begin with uWeee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa na wengine wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
Hawajui ya Mungu ndo maana
Maneno kama hayo ndo yanayotufanya wanawake tufe vihoro
Ukiachika jipange tu japo inauma Ila don't give up!
Sent using Jamii Forums mobile app
geni hili la muhimu kuliko yote [emoji4] unaniachaje lakini kwenye mpunga wa piliDivorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank uuNikiunga dots naona ulijitoa zaidi ya uwezo ili tu ndoa iende,hongera
Mumeo alikuwa Na nn special labda
DJ sepetu
Mmh hayaSiku hizi mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe. Tunawaona wakiachwa wanavyohara bata. Usipomuheshimu mkeo, hata Mungu hatokuheshimu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe tenaaageni hili la muhimu kuliko yote [emoji4] unaniachaje lakini kwenye mpunga wa pili
[emoji4][emoji4][emoji4] ninavyopenda sasa najua kitu cha biriani au ally mapilau [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe tenaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry ulianza mahusiano ukiwa Na miaka mingapi primary au seko?[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank uu
Mwanzo was good person kwa kweli anajua kulia na kucheka na pamoja
Na ndoa ni sacrifice huge sacrifice am telling u don't let go so easily
Hakuna anaependa divorce but unforeseen events kama hizo halafu mbaya na hujui zitaisha lini zikizidi bora uache ujitoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mdogo wangu!!! Haya amkia.Okay nimezaliwa miaka 30 iliyopita Mhimbili DSM nimeishi Dar nimekulia Dar,Shinyanga kidogo,Dodoma na Simiyu(Maswa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa aiseee[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapana hawakunitafsiri vibaya zaidi nilikua sipendi kutongozwa ndo maana unajua mwanaume ukimfanya rafiki hakutongozi[emoji1] [emoji1] hii nnayo mpk Leo sehemu yangu ya kazi nawafanya wakaka zaidi km marafiki zangu nalinda ukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe mdogo wangu!!! Haya amkia.
Akipenda kuchepuka huwezi zuia. Wanaume kuchepuka inatokana na vitu vingi.Aah so unamshauri na mkeo achepuke tu ila aheshimu ndoa? (Nimeconsider hiyo definition yenu mpya ya heshima)
Eeeh wewe zingua tu afu mama mito akuache uone jinsi uso utakavyokosa nuru na mashavu kuchuma kunde, dada zako wenyewe si unatujuaMmh haya
MarahabaKumbe mdogo wangu!!! Haya amkia.
Kwa hiyo wanawake kuchepuka haitokani na vitu vingi? You will always justify nonsense....Akipenda kuchepuka huwezi zuia. Wanaume kuchepuka inatokana na vitu vingi.
Geni ! Kwa shida na raha. Alichokiunganisha Mungu nyie mmevunja ahadi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank uu
Mwanzo was good person kwa kweli anajua kulia na kucheka na pamoja
Na ndoa ni sacrifice huge sacrifice am telling u don't let go so easily
Hakuna anaependa divorce but unforeseen events kama hizo halafu mbaya na hujui zitaisha lini zikizidi bora uache ujitoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Primary?!!!hapana advanced level my first man was my first and husband too love!!that's whyyy....!!!Sorry ulianza mahusiano ukiwa Na miaka mingapi primary au seko?
DJ sepetu
Haaaaaa[emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbe mdogo wangu!!! Haya amkia.
Ntakujibu usijali kaka!!Geni ! Kwa shida na raha. Alichokiunganisha Mungu nyie mmevunja ahadi.
Ungevumilia yangeisha. Hata huko uendako kuna karaha zake.