Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

No one is immune to cheating, hata mimi naweza kuchepuka (God forbid). Cheating sio tu kosa la kawaida, ni kubreak "trust" ya mtu, Ukiacha the fact kwamba umeshavunja ndoa yako spiritually. What happens after cheating ndo kinachomatter zaidi, amerepent kweli kwa Mungu na kwangu? Anafanyaje kuirejesha upya ndoa yetu ambayo ameshaivunja (Toba)? Na anafanyaje kuhakikisha anarudisha trust yangu aliyoivunja na hafanyi tena kosa lile lile? (Trust is earned). Hiyo nimeassume ni ndo mara ya kwanza kuchepuka na naassume "ameanguka", na amerepent cos wapo wanaocheat na anaona ni sawa tu. So jitihada zake za kunyanyuka zitamatter sana. Ikitokea mara ya 2 (anajenga tabia sasa) then lemme reserve my comment. Mungu atuepushie tu coz unaweza ukachepuka hiyo once ila ndo damages zake zikawa beyond repair; not all the time utachepuka tu na kuget away with it
[emoji5] [emoji5] ghafla nimetaka kumjua who is Heaven Sent.. dooh

Comment nzito nzito
 
Geni! Ungependa uzae watoto wangapi katika nyumba yako mpya ( If God wishes?)
 
Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa. Na wanaume wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
Nikipenda napenda to the fullest sibakishi hata ya kwangu najitoa sadaka maxima
Nksema its over I mean it!never turn back ever!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom