moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen. ..[emoji5] [emoji5]
Na wewe ujitahd kuepuka, yule jamaa huko PM na yule mwingne inbox WhatsApp usipowaepuka mwenyewe Mungu wala hawaondoi
Aah daadek yaan swala la umri wangu linaniangusha snaOkay nimezaliwa miaka 30 iliyopita Mhimbili DSM nimeishi Dar nimekulia Dar,Shinyanga kidogo,Dodoma na Simiyu(Maswa)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji5] [emoji5] ghafla nimetaka kumjua who is Heaven Sent.. doohNo one is immune to cheating, hata mimi naweza kuchepuka (God forbid). Cheating sio tu kosa la kawaida, ni kubreak "trust" ya mtu, Ukiacha the fact kwamba umeshavunja ndoa yako spiritually. What happens after cheating ndo kinachomatter zaidi, amerepent kweli kwa Mungu na kwangu? Anafanyaje kuirejesha upya ndoa yetu ambayo ameshaivunja (Toba)? Na anafanyaje kuhakikisha anarudisha trust yangu aliyoivunja na hafanyi tena kosa lile lile? (Trust is earned). Hiyo nimeassume ni ndo mara ya kwanza kuchepuka na naassume "ameanguka", na amerepent cos wapo wanaocheat na anaona ni sawa tu. So jitihada zake za kunyanyuka zitamatter sana. Ikitokea mara ya 2 (anajenga tabia sasa) then lemme reserve my comment. Mungu atuepushie tu coz unaweza ukachepuka hiyo once ila ndo damages zake zikawa beyond repair; not all the time utachepuka tu na kuget away with it
Thats rite cwthrtDon't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani
Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu
Sent using Jamii Forums mobile app
ehh huyu mbona alipitiliza
Dooh mfuatilie tu vizuri humu jf utamfahamu kwa kiasi[emoji5] [emoji5] ghafla nimetaka kumjua who is Heaven Sent.. dooh
Comment nzito nzito
Nitafanya hvyoDooh mfuatilie tu vizuri humu jf utamfahamu kwa kiasi
Bado!!....Mbona hujamuuliza amewahi kutoka na nani hapa JF???[emoji32][emoji32][emoji32]Asante generous kwa ushirikiano sasa unaweza jibu maswali yao members
DJ sepetu
Wewe wale uliowavuruga vuruga hapa JF mbona hujutii??[emoji32][emoji32][emoji32]au unafikiri hatujui!![emoji4][emoji4][emoji4]OMG...pole sana dada. Nakupongeza kwa kuamua enough is enough. Mtu huwezi kuishi kwa mateso kisa ndoa. Kuna mambo hayavumiliki.
Huu nao ni ujanja ujanja wa kumvuta Heaven wa watu pm!![emoji4][emoji4][emoji4][emoji5] [emoji5] ghafla nimetaka kumjua who is Heaven Sent.. dooh
Comment nzito nzito
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]!.....Mimi namtaka Miss Natafuta mkuu wala siyo Paprika!....Tatizo la Paprika hana chura ila chura la Miss siyo la nchi hii![emoji4]
Pole sanaDaaah hii chance ya mpunga tena ulininyima mimi....
Anyway all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh haka kabinti kameondoka na utamu wake..🙂🙂😉[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]!.....Mimi namtaka Miss Natafuta mkuu wala siyo Paprika!....Tatizo la Paprika hana chura ila chura la Miss siyo la nchi hii![emoji4]
Nikipenda napenda to the fullest sibakishi hata ya kwangu najitoa sadaka maximaWeee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa. Na wanaume wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
Nakuelewa vizuri sana.......Nikipenda napenda to the fullest sibakishi hata ya kwangu najitoa sadaka maxima
Nksema its over I mean it!never turn back ever!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ipogolo hili swali naona unaliuliza mara ya 3 sijui.Geni! Ungependa uzae watoto wangapi katika nyumba yako mpya ( If God wishes?)