Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Gen hebu nikuulize nini ni best turn out yako katika sex?

DJ sepetu

Unazungumziaje kuachana kunaumiza!?
Unalia au kubembeleza!?

DJ sepetu

Honeymoon yk ya kwanza ilikuaje Na hii ijayo umepanga experience gani kufanya

DJ sepetu

Unazungumziaje wanawake watu wazima wanaotembea Na Serengeti boys!?
Kina hahya unaweza ishi nae?

DJ sepetu
Ukiambiwa hujipangi unashangaa!! Sasa interview gani isoisha, au unalala ukikumbuka kitu unauliza tena!!!
 
Vizuri, one thing i like about you ni kuwa huwa unapokea challenges in a positive way. Safi sana mkuu. Fanyia kazi hayo marekebisho and utafanya vyema. Na uwe na utaratibu sasa, sio haujamaliza moja usharukia lingine!!!
Nimependa ulivyoweka hiyo avatar

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom