GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

Kwani SIMBA SC & YANGA SC, ni nani yupo mbele kumzidi mwenzake?
 
Nyie nao mnachekesha sana..kuna muda anawapa maujiko kama yote mnakenuaaa akianza kuwanyea mnamtafutia mtaalamu wa tiba... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dada unanifurahishaga sana
 
Huyu Genta tatizo kubwa linalomsumbus ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
Hpn siyo kweli genta sijawai kumuona akiomba msaada wowote humu ndani

Swal la kukoza Kaz na ww kuwa nayo siyo ishu

Kikubwa ajakuomba chochote Wala kumlilia mtu humu kwa lolote

Hyo Kaz yako wew ikusadie wee na wanae mwache jamaaa wetu atoe Uzi wake

Damiti sana
 
Huyu Genta tatizo kubwa linalomsumbus ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
Naona ID yako ile Maarufu ya Kocha Msaidizi wa Simba SC umeipumzisha kwa sasa na ukadhani hata ukija na hii Genius kama Mimi sitokujua ni Wewe.

Ni kweli sina Ajira ila namshukuru Mama yako kwa kunipa Ajira ya kutokwa na Jasho Pevu tukiwa pamoja Kijiografia na nikiimaliza huwa anafurahi na Kunilipa Ujira wangu na Maisha yanaendelea.
 
Ndio unazidi ku-demonstrate u-jobless wako na ulivyo na mental stress,shame on you!
 
VP Genta amekupa 'power of attorney' umuwakilishe au ndo maisha ya uchawa uliyozoea?pathetic.Suala la u-jobless lilikuwa specifc kwa Gentamycin kutokana na tabia yake anayo-demonstrate na kutokana na facts mbalimbali nilizonazo kuhusu Gentamycin,na wala haikuwa lengo langu ku-generalize hiyo statement kwa wengine wanaojitambua kwani kuwa jobless siyo dhambi.kwa hiyo,jitahidi kusoma na kuelewa scope ya mada husika na usidhalilishe JF kwa kurukia mada
 
Ila anaamini sana ushirikina huyo Mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…