Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Umeitwa kirahisi maana ulikuwa unagoma kuja.Pumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitwa kirahisi maana ulikuwa unagoma kuja.Pumbavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dada unanifurahishaga sanaNyie nao mnachekesha sana..kuna muda anawapa maujiko kama yote mnakenuaaa akianza kuwanyea mnamtafutia mtaalamu wa tiba... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Na kulalamika Sana bill sababuHuyo ni mpiga kelele hapa jamii forum, kila kitu akisikia au kuona lazima afungue uzi,
Kwahiyo unataka niwe nalalamika tu pale unapotaka nipite Mlango wako wa Kusi tukiwa pamoja Chobingo?Na kulalamika Sana bill sababu
Hpn siyo kweli genta sijawai kumuona akiomba msaada wowote humu ndaniHuyu Genta tatizo kubwa linalomsumbus ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
Naona ID yako ile Maarufu ya Kocha Msaidizi wa Simba SC umeipumzisha kwa sasa na ukadhani hata ukija na hii Genius kama Mimi sitokujua ni Wewe.Huyu Genta tatizo kubwa linalomsumbus ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
Naitwa GENTAMYCINE na si huyo Mpumbavu, Tapeli na Muiga ID yangu ili asafirie Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiumaarufu hapa JamiiForums aitwae GENTAMYCIME sawa?
Ndiyo 'anayekuweka' vizuri?Ngoja tumjulishe rafiki yake LIKUD ili aweze kumsaidia. Maana wametoka mbali.
Ndio unazidi ku-demonstrate u-jobless wako na ulivyo na mental stress,shame on you!Naona ID yako ile Maarufu ya Kocha Msaidizi wa Simba SC umeipumzisha kwa sasa na ukadhani hata ukija na hii Genius kama Mimi sitokujua ni Wewe.
Ni kweli sina Ajira ila namshukuru Mama yako kwa kunipa Ajira ya kutokwa na Jasho Pevu tukiwa pamoja Kijiografia na nikiimaliza huwa anafurahi na Kunilipa Ujira wangu na Maisha yanaendelea.
Ataenda kukuroga huyo mgosingwaNdiyo 'anayekuweka' vizuri?
Siyo kwamba anakuweka vizuri wewe rafiki yake!Ndiyo 'anayekuweka' vizuri?
Ndio maana unaandamwa humu,halafu unakuja lia unaonewaMbona huniiti Kukukaza pia?
VP Genta amekupa 'power of attorney' umuwakilishe au ndo maisha ya uchawa uliyozoea?pathetic.Suala la u-jobless lilikuwa specifc kwa Gentamycin kutokana na tabia yake anayo-demonstrate na kutokana na facts mbalimbali nilizonazo kuhusu Gentamycin,na wala haikuwa lengo langu ku-generalize hiyo statement kwa wengine wanaojitambua kwani kuwa jobless siyo dhambi.kwa hiyo,jitahidi kusoma na kuelewa scope ya mada husika na usidhalilishe JF kwa kurukia madaHpn siyo kweli genta sijawai kumuona akiomba msaada wowote humu ndani
Swal la kukoza Kaz na ww kuwa nayo siyo ishu
Kikubwa ajakuomba chochote Wala kumlilia mtu humu kwa lolote
Hyo Kaz yako wew ikusadie wee na wanae mwache jamaaa wetu atoe Uzi wake
Damiti sana
Ila anaamini sana ushirikina huyo Mzee!Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini hii haimaanishi anafurahishwa na maendeleo ya Yanga, NO! Hutumia hali ya Yanga kuwakumbusha Simba kwamba wawe serious, wasibweteke, wasajili wachezaji wazuri, n.k ili wao Simba wawe mbele kuzidi Yanga.
Sasa tukija katika upande wa ushabiki wake wa Simba, hapa sasa ndipo Imeshakuwa kawaida kukuta nyuzi zake hata tatu kwa siku humu ndani zikiashiria maumivu ayapatayo kwa Yanga kuendelea ubabe wa ligi.
Kwa hali hii kiutani utani tunaweza kumpoteza mwana JF mwenzetu.
Nashauri akae mbali sana na mambo ya mpira.