GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

Kwa Malipo anayonilipa Mama yako kwa Kumfurahisha nikiwa nae Kijiografia ni Ajira tosha Kwangu.
Ndio akili Yako ilipoishia,ndo unazidi ku-demonstrate mental stress uliyonayo na kushinda JF kutafuta relief, pathetic
 
Sasa kama Mama yako ananilipa Ujira wangu kwa kuwa nae Karibu Kijiografia na Kufurahi sana nitakuwaje tena sina Ajira?

Pumbavu.
At your age,bado unaona abusive language zitakusaidia kushinda argument,pole sana! Naona frustration zimekufanya kuwa psychiatric,pole! tutakusaidia tiba ya kisaikolojia Kwa ustaarabu kabisa
 
Huyu Genta tatizo kubwa linalomsumbua ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
Jamaa mbona mara kwa mara wanamuona kwenye ofisi za TISS au anaenda kutembelea washkaji tu?
 
At your age,bado unaona abusive language zitakusaidia kushinda argument,pole sana! Naona frustration zimekufanya kuwa psychiatric,pole! tutakusaidia tiba ya kisaikolojia Kwa ustaarabu kabisa
Hiyo Tiba ya Kisaikolojia anza Kwanza kumpa Mama yako aliyetuletea Taahira Wewe sawa?

Kuhusu Ajira naendelea Kusisitiza Kwako kuwa Ujira mzuri anaonipa Mama yako kwa kumpa Furaha ni zaidi hata ya Mshahara ambao ningepata katika Ofisi ambayo ningeajjriwa.

Hongera kwa kuwa na Ajira hiyo nzuri ya Kuwekwa ambayo inakupa Jeuri. Ni kheri nisiwe na Ajira kabisa kuliko kuwa na kama yako hiyo ya Kuwekwa.
 
Ndio akili Yako ilipoishia,ndo unazidi ku-demonstrate mental stress uliyonayo na kushinda JF kutafuta relief, pathetic
Kwahiyo unachukia Mimi Kushinda hapa JamiiForums ina maana ulitaka niwe nashinda 'Nakuweka' tu ndiyo Uridhike?

Umesema sina Ajira ( Jobless ) naomba kujua Pesa ya Kula, kula Bata, Kutia Mademu na kuwa na Uwezo wa Kununua Bando la Internet huwa naitoa wapi?

Mwisho nakusihi tu endelea kutumia zile ID'z zako kwani hii tayari nimeshakujua na nafurahi kuona GENTAMYCINE ninavyotisha hadi unaamua kuja na ID's zako nyingine Kupambana nami lakini bado nakumudu Kudadadeki.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Acha ujinga huyo siyo Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…