Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Nov 27, 2022 #61 Yupo hapa wodi ya wagonjwa wa akili, saizi tumempokonya Simu na amechomwa sindano
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 27, 2022 #62 Chukwu emeka said: Yupo hapa wodi ya wagonjwa wa akili, saizi tumempokonya Simu na amechomwa sindano Click to expand... Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD.
Chukwu emeka said: Yupo hapa wodi ya wagonjwa wa akili, saizi tumempokonya Simu na amechomwa sindano Click to expand... Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Nov 27, 2022 #63 Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Nov 28, 2022 #64 Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... Kwanza unanikosea heshima kusema haka katoto ni rafiki yangu, sema nifanye ubinadamu tu.
Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... Kwanza unanikosea heshima kusema haka katoto ni rafiki yangu, sema nifanye ubinadamu tu.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Nov 28, 2022 #65 Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... Hapa Mirembe naona wameshindwa,tunafikiria kumpeleka Tiba Mbadala
Tate Mkuu said: Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia! Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD. Click to expand... Hapa Mirembe naona wameshindwa,tunafikiria kumpeleka Tiba Mbadala
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Nov 28, 2022 #66 Matola said: Kwanza unanikosea heshima kusema haka katoto ni rafiki yangu, sema nifanye ubinadamu tu. Click to expand... Ngoja aamke
Matola said: Kwanza unanikosea heshima kusema haka katoto ni rafiki yangu, sema nifanye ubinadamu tu. Click to expand... Ngoja aamke
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 28, 2022 #67 Chukwu emeka said: Hapa Mirembe naona wameshindwa,tunafikiria kumpeleka Tiba Mbadala Click to expand... Menyewe yuko tayari?kwani Ndumba nazo zinahitaji utayari wa mhusika🚶
Chukwu emeka said: Hapa Mirembe naona wameshindwa,tunafikiria kumpeleka Tiba Mbadala Click to expand... Menyewe yuko tayari?kwani Ndumba nazo zinahitaji utayari wa mhusika🚶