GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

Samahani kama yupo Lutindi Tanga, gharama zote za matibabu, chakula, nauli, na kila kitu; naomba nijitolee kulipia!

Ila kama yupo Mirembe Dodoma, basi ni vizuri wakagharamia hao marafiki zake wawili; Matola na LIKUD.
Kwanza unanikosea heshima kusema haka katoto ni rafiki yangu, sema nifanye ubinadamu tu.
 
Back
Top Bottom