Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.

Nimemaliza.

[emoji3][emoji3][emoji3] ni mzee Mshama sio Mshamu.
 
He is not alone .....usijisumbue na huyo genta huu ni mwezi mchanga usishangae akikuuliza ni swali gani ilo ?? Mbona ajaliona kwenye huu Uzi .[emoji4] [emoji4]

Hongera kwa kuwa ' Msemaji ' wangu namba mbili hapa JamiiForums kwani tayari kuna mwenzako mwingine nae amejitolea kufanya Kazi hiyo hiyo. Akhsante sana Mwenyezi Mungu kwa kunifanya GENTAMYCINE niwe kweli ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.
 
Sijawahi kukutana na Swali la ' Kipumbavu ' na lililotoka kwa ' Mpumbavu ' anayewakilisha Familia na Koo ya ' Kipumbavu ' na aliyezaliwa ' Upumbavuni ' kama hili tokea nizaliwe na niwe na ufahamu.
Kwa jinsi ya maelezo yako inaonyesha mseveni alimaanisha wewe ni mtanzania ndiyo inawezekana maneno hayo akamwambia hata asiye mtz ila ukiichunguza utagundua yalikuwa yanakuusisha wewe na utanzania by using logic
 
Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.

Nimemaliza.
vipi,yule demu ulifanikiwa kumpa mimba akuzalie Gentamycine Jr?
 
Kwa jinsi ya maelezo yako inaonyesha mseveni alimaanisha wewe ni mtanzania ndiyo inawezekana maneno hayo akamwambia hata asiye mtz ila ukiichunguza utagundua yalikuwa yanakuusisha wewe na utanzania by using logic

Naona bado unaendelea ' Kututhibitishia ' Upopoma / Upumbavu wako uliorithishwa na waliokuleta duniani. Pole sana!
 
Genta unaidhalilisha Avatar hiyo

Mwenye hiyo Avatar Israel na ' Middle East ' nzima anajulikana kwamba ni ' Warlord ' na Waisraeli kila mara wanamchagua wakijua kuwa atawapa ' dozi ' kisawasawa Waarabu ( hasa Wapalestina ) na wale wengine watakaojipendekeza na ' maslahi ' ya ' Taifa Teule ' la Israel je unaposema naidhalilisha una maanisha nini labda?

Hata hivyo bado hujachelewa unaweza kunipa Nyago / Picha ya Dada yako ili niiweke hapo kama ' Avatar ' yangu mpya.
 
vipi,yule demu ulifanikiwa kumpa mimba akuzalie Gentamycine Jr?

Ngoja nimalizane Kwanza na hawa ' Wapumbavu ' walionichokoza tokea jana na kuiamsha ' mizimu ' yangu ' tukuka ' ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao kisha nitarudi huko ambako unataka nielekee ila unaweza pia kwa muda huu ukaanza kumuandaa Dada yako ili nae nije ' nimpachike ' Mimba kusudi angalau basi katika Familia yako kuwe na ' damu ' ya GENTAMYCINE ili Ukoo wenu mzima muweze Kuringa na Kutamba.
 
Na ndiyo nimeshawapa sasa walichokuwa wakikitafuta hivyo ' wajipime ' wenyewe na watapata majawabu yao stahili. Moja ya ' Silaha ' yangu kubwa maishani ni Kujiamini, Kutoogopa na kuwa Mkweli daima na hizo ' Silaha ' sitokuja kuziacha hadi naingia zangu ' Kaburini ' pale ambapo Mwenyezi Mungu akinihitaji rasmi.

Lakini hujajibu swali ...watu wanakusanifu tu na mapovu yako......hakuna mjukuu wa Nyerere aliyelelewa na Museveni au aliye Mnyarwanda
 
Ngoja nimalizane Kwanza na hawa ' Wapumbavu ' walionichokoza tokea jana na kuiamsha ' mizimu ' yangu ' tukuka ' ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao kisha nitarudi huko ambako unataka nielekee ila unaweza pia kwa muda huu ukaanza kumuandaa Dada yako ili nae nije ' nimpachike ' Mimba kusudi angalau basi katika Familia yako kuwe na ' damu ' ya GENTAMYCINE ili Ukoo wenu mzima muweze Kuringa na Kutamba.
Ye mwamba, kwani ndagutuse? Kuki untukaguye ukwinganintyo?
 
Tafuta tabia za Wayahudi katika uwanja wa ' Mapambano ' kisha fanya ' Utafiti ' wako juu ya ' Wasifu ' wa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu ambaye picha yake naitumia sana kama ' Avatar ' yangu kisha utajua ' tabia ' halisi ya GENTAMYCINE. Vita na Ubabe ni sehemu ya maisha ya Wayahudi na wanaiweza kweli kweli.

Ukinikabili Kistaarabu utanipenda na utaishi nami vizuri hadi hutoamini ila ukitafuta matatizo na Mimi basi nikuambie tu kwamba ' UTAPATA TABU SANA ' nami hadi kujuta kwanini umelianzisha Kwangu.

Watu wafupi mnamatatizo sana.....unanikumbusha mikwara ya utotoni nikiwa darasa la tatu B
 
Mwenye hiyo Avatar Israel na ' Middle East ' nzima anajulikana kwamba ni ' Warlord ' na Waisraeli kila mara wanamchagua wakijua kuwa atawapa ' dozi ' kisawasawa Waarabu ( hasa Wapalestina ) na wale wengine watakaojipendekeza na ' maslahi ' ya ' Taifa Teule ' la Israel je unaposema naidhalilisha una maanisha nini labda?

Hata hivyo bado hujachelewa unaweza kunipa Nyago / Picha ya Dada yako ili niiweke hapo kama ' Avatar ' yangu mpya.
Hapa naona umeamua kudhihirisha mbele ya uma how kilaza you are
 
Back
Top Bottom