Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Walinishindwa ' Manguli ' humu mtaniweza nyie ' Vikapuku ' tu? Hakuna Vita itakayonishinda, sijawahi kushindwa Vita na napenda sana kama siyo mno Vita. Sina haja wala hadhi hiyo ya ' Kugugo ' na kama Mimi kusema kuwa nimekulia kwa Hayati Mwalimu Nyerere na Kulelewa na Rais wa Uganda Mzee Museveni ndiyo tatizo lako / lenu na limewauma kwakuwa najua Waswahili akili zenu zote mmewekeza katika Chuki, Wivu na Majungu basi kupata nafuu nawashaurini tu tafuteni upesi / haraka Sumu ya Panya au Chupa mzisagesage mnywe ' Mfe ' lakini kama bado GENTAMYCINE nikiendelea kuwa na huu ' Uhai ' basi nitaendelea ' Kuwanyoosheni ' humu mpaka mkae sawa.

Mkilianzisha mjue pia na Kulimaliza.

Wivu kulelewa na maraisi wa nchi masikini tena na wao masikini?....we kweli kapuku....ungekuwa mtoto wa Trump shuzi lako lingekuwaje??
 
Watu kama hawa wakina genta ndiyo ufumuliwa malinda na wakubwa serikalini mm nashauri abadili avat aweke ya choko siyo bure
 
Jibu swali uliloulizwa we nyenyere...leo utakoma kuwa na misifa ya kipuuzi

Mbona hata ' aliyekuzaa ' nae ana sifa za Kipuuzi za Kupenda ' Kutambaliziwa ' sana lakini hutaki kuliweka wazi hapa?
 
Wivu kulelewa na maraisi wa nchi masikini tena na wao masikini?....we kweli kapuku....ungekuwa mtoto wa Trump shuzi lako lingekuwaje??

Halafu huo ' Ushuzi ' aliyekuzaa hupenda sana Kuutoa pale ninapomalizana nae.
 
Unataka na Wewe nikupe jibu lile lile nililompa mwenzako mmoja hapo juu? Umeshajiandaa ' Kisaikolojia ' labda?
duuh haya mkuu sorry kama ni neno lenye maudhui mabaya ndani yake ila mimi nilitaka kujua tu maana yake
 
Wewe una wasiwasi na uraia wa Genta tuu? Mm ninawasiwasi huenda sio mtu ni either lycan yule jamaa
 
Mbona hata ' aliyekuzaa ' nae ana sifa za Kipuuzi za Kupenda ' Kutambaliziwa ' sana lakini hutaki kuliweka wazi hapa?

leo ndiyo nimeamini kweli wewe mtoto sio riziki..............unajipendekeza kwa watu maarufu ingawa ni masikini ? utawapata wapumbavu wenzio....mzee wa kutambaliziwa..........
 
Watu kama hawa wakina genta ndiyo ufumuliwa malinda na wakubwa serikalini mm nashauri abadili avat aweke ya choko siyo bure

Complicator kuna mahala umenzisha ' Uzi ' wako ' maalum ' kabisa wa kunilalamikia, kunishutumu na kuomba nipigwe BAN sasa nakuomba uiangalie hii ' post ' na zingine zinazoanzia page namba 9 hadi hii ya 12 kisha naomba uniambia kati yangu na hawa ' Wenzako ' ni nani ulipashwa umzungumzie mno katika ule Uzi? Hivi kwa ' posts ' kama hizi tena wengine wanafanya makusudi wanaziacha zile ID's zao zinazojulikana humu JF kisha kwa ' makusudi ' wanaziibua zile za ' Kutukania ' Watu unategemea GENTAMYCINE nitanyamaza? Hivi ninyamaze kwakuwa ' nawaogopeni ' sana au? Hapa leo nitaenda nanyi ' pasu kwa pasu ' na hii Vita kamwe hamtoiweza na nakaribia kuimaliza vile vile huku kama kawaida yangu nikiibuka ' a Victor '.

Tutaheshimiana tu!
 
Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu w JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.

Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!
Unapenda sifa we dogo
 
Ni wapi nimesema Mimi ni ' Mjukuu ' wa Nyerere kutoka kwa mmoja wa Watoto zake wa Kuwazaa? Najua unachokitafuta hapa ni kunijua zaidi na hutokipata hicho unachokitaka. Na kwa kuonyesha kuwa hujiamini umeamua kuja na ID yako ' mbadala ' na kuachana na ile ambayo unajua ningekujua upesi. Najua labda unaumia sana kusikia nimekulia katika mikono ya Nyerere na Museveni. Pole sana kwani hata Mimi sikupenda iwe hivyo ila nilijikuta tu nimeangukia Kwao kutokana na ' Udugu ' wa Kimila wa Kizanaki na Urafiki mwema wa Kifamilia kati ya Tanzania na Uganda.

Kuhusu ' Unyarwanda ' wangu nakupa ' assignment ' ndogo sana tafuta ' origin ' ya Kabila la Zanaki kisha utapata majibu yote ya maswali yako. Hongera pia kwa kuja kwani huwa napenda mno Kukutana na ' Wapumbavu ' wa mfano wako hapa Jamvini ambao Wivu na Chuki zenu Kwangu ndizo hunifanya niwe juu ' Kiumaarufu ' kuliko nyie.

Kweli GENTAMYCINE ' nawatesa ' sana Waswahili hadi raha na burudani. Haya naomba ukinijibu usisahau pia kunijibu na ile ID yako iliyo maarufu hapa Jamvini ambayo unadhani labda siijui. Cheza na Watu wote ila siyo Mimi kwani ulipoamkia Wewe leo Mimi nimelala huko juzi.
Wazanaki mi sura migumu kama mmelamba ndimu hamuwezi kuwa watutsi labda Wakiga.
 
Sasa bora basi ningechokozwa na Wanawake labda ningejua kuwa wananitaka / wananipenda lakini huwezi amini 99.9% ya wanaonichokoza na kunifuatauata ni Wanaume sasa sijui nikisema labda wanashoboka nami pengine niweze ' Kuwatambalazia ' kunako ' Unyabeni ' Kwao au la. Sasa kama wanataka ' mtambalizio ' wangu kwanini wanapita njia ndefu sana na yenye mabonde mabonde?
Binafsi nakupenda
 
leo ndiyo nimeamini kweli wewe mtoto sio riziki..............unajipendekeza kwa watu maarufu ingawa ni masikini ? utawapata wapumbavu wenzio....mzee wa kutambaliziwa..........

Kuna sehemu yoyote labda ambayo GENTAMYCINE nimejinasibu kuwa Mimi ni Tajiri? Kama ipo na una hadi ushahidi nayo tafadhali weka hapa ili ' niumbuke ' tafadhali. Sijaishia tu Kujipendekeza kwa Watu ' maarufu ' bali hata ' Babaako ' nae akitaka kuumaliza ' Umasikini ' wake anaweza tu nae ' akajipendekeza ' Kwangu apate ' mtambalizio ' wa maana ili angalau shida ndogo ndogo zianze kumkimbia.

Tena wala hujakosea Mimi ni Masikini kabisa ila ni Tajiri wa IQ kubwa ambayo inaweza kuwafanyeni Watu wazima kabisa mnasumbuka na GENTAMYCINE hapa Jamvini ' Kujibizana ' nae mkiacha kufanya Kazi zenu za maana na Kujiingizia vipato. Endeleeni tu Kupotezewa muda nami huku mkiniiga Mimi kuwepo hapa JF muda mrefu pengine mkidhani tunafanana.

Yaani raha sana Kichwa Kimoja tu lakini kinawapelekesha na kuwaendesha Watu 24/7.
 
Ngoja nimalizane Kwanza na hawa ' Wapumbavu ' walionichokoza tokea jana na kuiamsha ' mizimu ' yangu ' tukuka ' ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao kisha nitarudi huko ambako unataka nielekee ila unaweza pia kwa muda huu ukaanza kumuandaa Dada yako ili nae nije ' nimpachike ' Mimba kusudi angalau basi katika Familia yako kuwe na ' damu ' ya GENTAMYCINE ili Ukoo wenu mzima muweze Kuringa na Kutamba.
Unachekesha na ma stress yangu hata kama ukichaa wako wa matusi unafurahisha sana
 
Back
Top Bottom