Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu w JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.
Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!