Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.
Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.
Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.
Nimemaliza.
[emoji3][emoji3][emoji3] ni mzee Mshama sio Mshamu.